jitokeze kama upo tayari.....!!!!!

Bonson05

Member
Oct 12, 2012
77
12
jamani mie ni kjana wa miak 25 natafta MCHUMBA mwenye sifa zifuatazo:-
1) awe mwanamke!
2) asiwe bonge
3) awe na kimo kisichozidi ft 5.2
4) awe na sura yenye mvuto
5) pia awe maji ya kunde!
6) umbo no 8
7) mkarimu
8)mcha MUNGU.
msaada p'se!
 
Wewe elimu kwako sio qualification? nadhani umegundua elimu wakati mwingine inasumbua katika mambo ya kiroho kama ndoa.
 
Mwanamke hatafutwi kwa njia hii we dogo! Hauko serious! Unataka kuchezea watoto wa watu tu wewe! Mke mwema hutoka kwa Mungu wala si kwenye mtandao!!!! Nyau wewee!!!
 
sifa ya kwanza wakati wakutafuta mke bora wakuishi naye huwa ni tabia njema na maadili bora , ndiyo hufuatia sifa nyingine unazopenda wewe. hata kama mke akawa mzuri kama malaika lakini anatabia mbaya kama umalaya, wizi au uuaji razima atakuua au mtaachana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom