Jitibu nyumbani na kifungua kinywa cha Alkasus

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,641
Je, unasumbuliwa na presha! Kisukari! Uchovu! Au huna hamu na tendo la ndoa!!

Alkhasusi ni kinywaji kama ilivyo chai inatengenezwa kwa muunganiko wa viungo tofauti
Alkhasusi itakutibu kabisa ukifuata matumizi bora ya kinywaji hiki

Viungo:
Tangawizi, kahawa, kokoa na mlonge
Kuna mti mmoja nimeshindwa kuandika kwa kiswahili
Unabonda bonda mizizi hadi inageuka unga then unaweka ujazo wa kikombe cha chai vijiko viwili
Ikiisha chemka tayari kwa kunywa unatia na asali ya asili kijiko kimoja unakoroga tayari kwa kunywa
Fanya hivi kwa mwezi mmoja kila asubuhi.

Alkhasusi ni bora zaidi kwa wanaougua kisukari kuliko kunywa madawa ya hospitali

Inatibu kabisa pressure (bp), inaondoa uchovu 100% kwa wale overworking both manual and soft

Kwa wanawake:
Hasa kwa wale waliokwisha jifungua inarejesha uimara katika sehemu za siri kwani mishipa inakaza tena (verginity kwa 80%)
Pia kwa wanawake waliojifungua utaepuka kuumwa kiuno hapa nadhani kinamama wanaelewa vyema

Kwa wanaume:

Inakusaidia kukaza kwa korodani zilizolegea pia inaimarisha misuli ya uume kama umeathiriwa na porn
Inaondoa uchovu kwa 100%.

Kwa watoto
Watoto wadogo husumbuliwa sana na vifua mtibu kwa kumpa Alkhasusi.

Hiki kinywaji ni maarufu sana kwa wakazi wa tanga ndio maana ni mara kukuta wazee wa huu ukanda wanasumbuliwa na maradhi hayo
Waarabu wengi husafirisha kwenda kwao kunitibia

Huo mti nilioshindwa kuutaja kwa kiswahili naweza tukajulishana kupitia pm

Jiponye na alkhasusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinywaji murua tiba imara

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka jina la huo mti mkuu. Kipimo cha tangawizi, mlonge, Kahawa kikoje? Au unakadiria.

Unaweza taja jina la huo mti hata kwa lugha ya kiingereza kama hutojali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Tuwekee jina la huo mti hata Kama Ni kikwenu au kapicha katafaa kama kwa kiswahili ni ngumu
 
Naomba kuuliza Jambo. Wenye Kisukari wanaruhisiwa kutumia Asali?? Hapo imenichanganya.

Asante
 
H

Huruhusiwi mkuu japo wengine husema hivyo kumbuka ASALI Ni tamu KULIKO sukari Kama sukari hupaswi kutumia IWEJE rahisi kwa asali?
Japo utaambiwa Ni sukari ya asili lakini usitumie
 
Tunatakiwa kuwa makini sana na haya matangazo. Kuna suppliments huko IG Zinauzwa kama njugu. Ukifuatilia zina side effects za acute Liver Injury. Watu wanabugia bila kuambiwa madhara yake.
 
Hakika mkuu
 
Sijafaham dhumuni la mleta uzi.Yaan anataja mahitaji ya dawa halafu kitu kimoja hakijui jina.Narudia tena,sjui dhumuni lake hasa nin?!
 
Je, unasumbuliwa na presha! Kisukari! Uchovu! Au huna hamu na tendo la ndoa!!

Alkhasusi ni kinywaji kama ilivyo chai inatengenezwa kwa muunganiko wa viungo tofauti
Alkhasusi itakutibu kabisa ukifuata matumizi bora ya kinywaji hiki

Viungo:
Tangawizi, kahawa, kokoa na mlonge
Kuna mti mmoja nimeshindwa kuandika kwa kiswahili
Unabonda bonda mizizi hadi inageuka unga then unaweka ujazo wa kikombe cha chai vijiko viwili
Ikiisha chemka tayari kwa kunywa unatia na asali ya asili kijiko kimoja unakoroga tayari kwa kunywa
Fanya hivi kwa mwezi mmoja kila asubuhi.

Alkhasusi ni bora zaidi kwa wanaougua kisukari kuliko kunywa madawa ya hospitali

Inatibu kabisa pressure (bp), inaondoa uchovu 100% kwa wale overworking both manual and soft

Kwa wanawake:
Hasa kwa wale waliokwisha jifungua inarejesha uimara katika sehemu za siri kwani mishipa inakaza tena (verginity kwa 80%)
Pia kwa wanawake waliojifungua utaepuka kuumwa kiuno hapa nadhani kinamama wanaelewa vyema

Kwa wanaume:

Inakusaidia kukaza kwa korodani zilizolegea pia inaimarisha misuli ya uume kama umeathiriwa na porn
Inaondoa uchovu kwa 100%.

Kwa watoto
Watoto wadogo husumbuliwa sana na vifua mtibu kwa kumpa Alkhasusi.

Hiki kinywaji ni maarufu sana kwa wakazi wa tanga ndio maana ni mara kukuta wazee wa huu ukanda wanasumbuliwa na maradhi hayo
Waarabu wengi husafirisha kwenda kwao kunitibia

Huo mti nilioshindwa kuutaja kwa kiswahili naweza tukajulishana kupitia pm

Jiponye na alkhasusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliposema tu kuna mti umeusahau hapo ndipo kwenye tangazo lako la biashara
 
Back
Top Bottom