Jitambue wewe ni mungu wa uhusika upi?

Khalifavinnie

JF-Expert Member
May 19, 2017
2,430
2,000
Habari ndugu wapenzi wa JF natumai ni wazima wa afya tele kabisa na iwapo mlioko mpo katika michikariko basi ni kupambana tu na changamoto za maisha kwani hakuna njia isiyo na visiki au vilima,leo nataka tufahamu nini maana halisi ya neno mungu au uungu na hata miungu.
Katika mataifa mengi duniani kumekuwa na dhana nyingi na misononeko na ukubwa wenye uzito na hata uogopefu wa jina la mungu kulingana na kila taifa na jinji ya utamkwaji wake pia na makabila nayo vivyo hivyo,lakini kila sehemu ya mataifa hayo inapofikia swala la marejeo ya miungu husimama kama kitu kikuu cha vyote vilivyo chini yake pasina kingine cha kukipinga,lakini linakuja swala tata lingine katika hayo mataifa mengi duniani kinakuja kiulizo kwanini kuwe na miungu tofauti ili hali ndio watofautiana kwa majina lakini hukutwa wakitofautiana kwa kimaumbile,jinsia na hata jamii.

Katika mataifa kama ya asia kuna makabila ya miungu jamii ya tembo,ng'ombe,vito,mawe n.k kwanini kuwe na miungu ya dizaini hiyo na je miungu hiyo hutenda kazi kama inavyoabudiwa kwa mahitaji fulani?,na kama haitendi kazi kwanink bado wanaikumbatia jibu ni inatenda kazi na kurejesha majibu ya maombi yatolewayo na ndio maana huzidi kuabudiwa,lakini pia kuna miungu watu kama wafalme,maraisi na viongozi mbali mbali wa kila nyanja katika wadhifa mbalimbali ndani ya kila taifa na hao pia ni miungu na wanazo sifa zote za kiungu husujudiwa,huombwa na hupewa utukufu na watu.

Lakini pia kuna miungu ya historia na masomo bobezi yenye sheria pangwa kama mungu wa kiulizo,mungu huyu wa kiulizo ndie mungu aliebeba hadithi zote watu maarufu wa kale kama kina nuhu,yakobo,mussa,suleiman,yesu,mohamed hawa wote wamebebwa na mungu wa kiulizo katika hadithi zao ambazo zinaendesha maisha na tabia za watu wa sasa ili hali watu hao maarufu hakuna uhakika kama waliwai kuwepo au la maana dunia ina blaa blaa nyingi mno.

Lengo kuu na dhumuni ni kufahamu ni nini maana halilisi ya mungu nadhani tumepata kufahamu katika maelezo hapo juu kumbe hata wewe ni mungu wa chochote kilicho chini yako na kisitokee cha kukupinga na endapo kitakupinga basi utapolwa uungu huo na endapo hautapokwa kabisa itafahimika na kuwa mko miungu kadhaa,hivyo basi kama wewe ni mfugaji wa kuku fahamu kabisa kuku hao uwafugao wanakutukuza na kukusujudu kama mungu wao hata ukiwa na ng'mbe au mbwa au chochote hata shamba fahamu kuwa hivyo vinakutukuza na kukusujudu ww maana bila ww hivyo visingekuwepo kwako vingekuwepo kwa mungu mwingine.

Ki utu na uzao mungu wako ni baba na mama yako ukitaka kujua miungu na miungu utaenda na kunda vizazi kwa vizazi na kurudi ulipoanzia hakuna baraka nzuri za bahati kama ukiomba kwa mzazi wako ambae ndio mungu wako mzazi wako anaweza kukunuwia chochote kibaya ama kizuri na kikafanyika ili mradi jambo hilo liwe kwenye haki timilifu nimalize kwa kusema mimi ni mungu wa mmea wangu ua ambalo nililipanda kwa mikono yangu nikalimwagilia mpka kukua na mpka hivi leo lapendeza na kumetameta kwa sababu ya mimi mungu wake nimelifanya kuwa ua.
 
tilmikha

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
472
500
Mungu ni mmoja tu, vilivyo baki ni viumbe vyake. Unaweza ukawa umepanda mbegu ya mmea ila wewe sio ulieanzisha hio mbegu, wala ulioiotesha kutoa mche.
 
Khalifavinnie

JF-Expert Member
May 19, 2017
2,430
2,000
Mungu ni mmoja tu, vilivyo baki ni viumbe vyake. Unaweza ukawa umepanda mbegu ya mmea ila wewe sio ulieanzisha hio mbegu, wala ulioiotesha kutoa mche.
Ni nani alieifanya ikaota? kama si mimi ni nani alieiona hii ni mbegu kama si mimi alieianzisha mbegu ni mmea mwingine ulio itoa mbegu hio na mmea huo nao ulikua na mungu wake pia.
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,299
2,000
Ukweli mchungu
Sisi ndio miungu,bila sisi mungu hayupo sababu ili awepo itatupasa tuwepo ili yeye ajulikane yupo

Hiyo cycle ni ngumu kumeza ila ndio ukweli wenyewe!
 
love life live life

Senior Member
Sep 12, 2021
123
225
Habari ndugu wapenzi wa JF natumai ni wazima wa afya tele kabisa na iwapo mlioko mpo katika michikariko basi ni kupambana tu na changamoto za maisha kwani hakuna njia isiyo na visiki au vilima,leo nataka tufahamu nini maana halisi ya neno mungu au uungu na hata miungu.
Katika mataifa mengi duniani kumekuwa na dhana nyingi na misononeko na ukubwa wenye uzito na hata uogopefu wa jina la mungu kulingana na kila taifa na jinji ya utamkwaji wake pia na makabila nayo vivyo hivyo,lakini kila sehemu ya mataifa hayo inapofikia swala la marejeo ya miungu husimama kama kitu kikuu cha vyote vilivyo chini yake pasina kingine cha kukipinga,lakini linakuja swala tata lingine katika hayo mataifa mengi duniani kinakuja kiulizo kwanini kuwe na miungu tofauti ili hali ndio watofautiana kwa majina lakini hukutwa wakitofautiana kwa kimaumbile,jinsia na hata jamii.

Katika mataifa kama ya asia kuna makabila ya miungu jamii ya tembo,ng'ombe,vito,mawe n.k kwanini kuwe na miungu ya dizaini hiyo na je miungu hiyo hutenda kazi kama inavyoabudiwa kwa mahitaji fulani?,na kama haitendi kazi kwanink bado wanaikumbatia jibu ni inatenda kazi na kurejesha majibu ya maombi yatolewayo na ndio maana huzidi kuabudiwa,lakini pia kuna miungu watu kama wafalme,maraisi na viongozi mbali mbali wa kila nyanja katika wadhifa mbalimbali ndani ya kila taifa na hao pia ni miungu na wanazo sifa zote za kiungu husujudiwa,huombwa na hupewa utukufu na watu.

Lakini pia kuna miungu ya historia na masomo bobezi yenye sheria pangwa kama mungu wa kiulizo,mungu huyu wa kiulizo ndie mungu aliebeba hadithi zote watu maarufu wa kale kama kina nuhu,yakobo,mussa,suleiman,yesu,mohamed hawa wote wamebebwa na mungu wa kiulizo katika hadithi zao ambazo zinaendesha maisha na tabia za watu wa sasa ili hali watu hao maarufu hakuna uhakika kama waliwai kuwepo au la maana dunia ina blaa blaa nyingi mno.

Lengo kuu na dhumuni ni kufahamu ni nini maana halilisi ya mungu nadhani tumepata kufahamu katika maelezo hapo juu kumbe hata wewe ni mungu wa chochote kilicho chini yako na kisitokee cha kukupinga na endapo kitakupinga basi utapolwa uungu huo na endapo hautapokwa kabisa itafahimika na kuwa mko miungu kadhaa,hivyo basi kama wewe ni mfugaji wa kuku fahamu kabisa kuku hao uwafugao wanakutukuza na kukusujudu kama mungu wao hata ukiwa na ng'mbe au mbwa au chochote hata shamba fahamu kuwa hivyo vinakutukuza na kukusujudu ww maana bila ww hivyo visingekuwepo kwako vingekuwepo kwa mungu mwingine.

Ki utu na uzao mungu wako ni baba na mama yako ukitaka kujua miungu na miungu utaenda na kunda vizazi kwa vizazi na kurudi ulipoanzia hakuna baraka nzuri za bahati kama ukiomba kwa mzazi wako ambae ndio mungu wako mzazi wako anaweza kukunuwia chochote kibaya ama kizuri na kikafanyika ili mradi jambo hilo liwe kwenye haki timilifu nimalize kwa kusema mimi ni mungu wa mmea wangu ua ambalo nililipanda kwa mikono yangu nikalimwagilia mpka kukua na mpka hivi leo lapendeza na kumetameta kwa sababu ya mimi mungu wake nimelifanya kuwa ua.
Mungu kwa dhana ya kwamaba all powerfull n mmoja lakini kwa dhana ya kwamba unauwezo wakufanya choice bila kuathiriwa bado bado uko limited sana.
Nadhani tunakosea au tulikosewa kupewa definition ya Mungu na dini zetu kuu kwa sababu pia Mungu wa dini hizi amechorwa kama mtu wa kawida mwenye uwezo wa kufanya miujiza yote kitu ambacho bado naamini sio sahihi.
sayansi imedeclare enegy can not be created no destroyed tukimpata creator wa energy tunaweza justify sayansi na maajabu yake ya kwenda mpaka sayari za mbali bado imeshidwa kutoa uhai kwa kiumbe kidogo kama sisimizi huyu mtoa uhai naamini ni Mungu.
Mungu ametuumba kwa mfano wake naamini sisi ni kama maji kwenye ndoo wakati wa jua kila ndoo huonekana kuwa na jua hata kama ziko mia lakini jua liko moja
 
Mungu yupo ndani ya kila mtu ukianaglia vizuri uatagundua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom