Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Baba Vladmir

JF-Expert Member
Aug 31, 2021
252
383
Jambo watanzania wenzangu!!

Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.

NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
 
Dawa gani asili ya bawasiri
Mitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali, lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika. Muhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.

Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote, kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
 
Mitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali,lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika.Mhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote,kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
Ambayo ni ipi mkuu....na je haiwezi kuwa na athari yoyote
 
Mitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali,lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika.Mhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote,kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
Je karafuu ina madhara ukiwa unaitumia kila kisu kama chai
 
Mitishamba inayotibu bawasili ipo ya aina mbalimbali,lakini majina yake huambatana na lugha ya eneo husika.Mhimu ni kuwa ili uweze kupona bawasili lazima upate dawa ya kunywa itakayopita kwenye utumbo mkubwa ambapo ndiyo viotea halisi vya nyama hutokea.Dawa ya kupaka husaidia tu kuondoa viotea vya nyama kwa wakati huo lakini haiwezi kusaidia wakati wote,kwa hiyo ili kumaliza tatizo kabisa lazima pia upate dawa ya kunywa.
Hiyo dawa huwa inatibu tatizo kabisa au ni kwakipindi fulani tu
Je bawasiri huwa inarithi?
 
Back
Top Bottom