Jitahidi kwenye maisha uwe na mwanamke/mwanaume

Hivi mkuu, unajua kuna mtu muda huu anabembeleza bebe kisa tu jana alilala bila kusema good night, au ilipigwa simu akupoke?
Wakati sisi single tuna enjoy tu bila lawama na mtu.
U single una madhara yake ila kwa sasa hutayaona. Siku ambayo umezidiwa ndani na huna wa kukusaidia ndio utajua kwamba hujui.

Hasa katika age za 60's and above ambapo wengi wetu huwa miili ishatepeta. Nilikuwa na dingi yangu mkubwa mbabe kishenzi. Ukimuona sahivi alivyotepeta huwezi amini ndio yule ambaye mkisikia gari yake inashuka tu mnakimbilia vyumbani kutafuta mdaftari yalipo.
 
Hao kina Paulo na Elia hawakuweza Bali waliwezeshwa na Mungu mwenyewe kwa maana waliumbiwa hali ya kuwa matowashi tangu tumboni kwa Mama zao,

Hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake kwenye
Mathayo 19:10-12
Mbona Paulo aliweza ,eliya ,aliweza ,Pythagoras aliweza

Mimi nahisi ni matazamo tunaishi kwa mitazamo tu na usilazimishe mtazamo wako uwe sawa wa wengine

Lakini kwamimi naweza kusema inawezekana na wewe unaweza kusema haiwezekani na Wote tukawa Sawa kutana na sababu zetu sote
 
Hao kina Paulo na Elia hawakuweza Bali waliwezeshwa na Mungu mwenyewe kwa maana waliumbiwa hali ya kuwa matowashi tangu tumboni kwa Mama zao,

Hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake kwenye
Mathayo 19:10-12
Kwamba Paulo hata kabla hajawa mtume hakuwahi kuwa na mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa Mada uko sahihi Sana

Ila fahamu hakuna mtu aliyekamilika kuanzia akili na kuendelea alafu akashindwa kutamani kuwa na Family yake ( Mke/Mme na Watoto)

Haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Paulo hata kabla hajawa mtume hakuwahi kuwa na mwanamke?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Biblia haijaandikwa,,,,
Ila Paulo kitaaluma alikuwa Farisayo, msomi wa Sheria ya Kiyahudi na alikuwa hana mke..

Inawezekana kabla hajakutana na Yesu alikuwa mzinzi japo kwa siri, ila hakuna anayejua kwa maana Kwa cheo chake cha Farisayo alikuwa anasimamia sheria na kutoa adhabu Kali kwa wanaokiuka torati kama vile Wazinzi, Wezi, nk.

Ila historia yake ya kimahusiano kabla ya Kuwa Mtume haijaandikwa..
Baada ya kuwa Mtume tunajua hakuoa mpaka kufa kwake.
 
U single una madhara yake ila kwa sasa hutayaona. Siku ambayo umezidiwa ndani na huna wa kukusaidia ndio utajua kwamba hujui.

Hasa katika age za 60's and above ambapo wengi wetu huwa miili ishatepeta. Nilikuwa na dingi yangu mkubwa mbabe kishenzi. Ukimuona sahivi alivyotepeta huwezi amini ndio yule ambaye mkisikia gari yake inashuka tu mnakimbilia vyumbani kutafuta mdaftari yalipo.
Sawa mkuu, ila hizi headaches zisubiri kwanza
 
Kwenye Biblia haijaandikwa,,,,
Ila Paulo kitaaluma alikuwa Farisayo, msomi wa Sheria ya Kiyahudi na alikuwa hana mke..

Inawezekana kabla hajakutana na Yesu alikuwa mzinzi japo kwa siri, ila hakuna anayejua kwa maana Kwa cheo chake cha Farisayo alikuwa anasimamia sheria na kutoa adhabu Kali kwa wanaokiuka torati kama vile Wazinzi, Wezi, nk.

Ila historia yake ya kimahusiano kabla ya Kuwa Mtume haijaandikwa..
Baada ya kuwa Mtume tunajua hakuoa mpaka kufa kwake.
Hiyo ndio ilikuwa point yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe single afu maelewano na ndugu ni dhaifu siku ukiumwa hoi ndani nani atakuhudumia? Kuna kesi nyingi za watu single kufia ndani na miili kugundulika baada ya siku kadhaa
 
Ushaur Safi, Cha kusikitisha wahusika sijui wahapiti JF!? Pana kabinti kakikuwa kunako 23y miaka kumi na ishee iliyopita, nilikalia taiming Sana. Ni coworker na mm ni senior wake. Kila ninapokupa na kazi za field nakaambia, na nakapa location ili kaingie line kaje nikamege.

Loo! Kamekuwa kabishi Sana. Kamejiweka katika kundi la kuolewa kwa jinsi kalivyo, na inawezekana kwao dada zake waliolewa hivyo. Mage alichezea muda wake, amekuwa na mvuto hatari.

Imefikia hatua mage amemrudia muumba, asb, mchana jioni kanisani. Wanaume watu wabaya hakuna anayemstua kuoa . Hakuna hata dalili ya kupata mtoto.
 
Jitahidi sana kwenye maisha yako uwe na mwanaume/mwanamke wako pale ukitaka kuwa na familia, kamwe usikubali kuambiwa kuwa peke yako unaweza hamna hicho kitu na ndio maana hata kwenye kuumbwa Mungu aliumba Adam na Hawa na sio mmoja tu atoshe kuwa sawa kwa wote.
Asante kwa andiko
Wanaobishana wajue tu hizi ndo taratibu za kidunia
 
wanaume wanaokataa kuwa na wanawake kwenye huu uzi siwaelewi elewi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom