jirani yangu msumbufu nataka nijenge ukuta ila lazima yeye ndie alipie gharama za ukuta..ushauri plz

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,191
7,320
habari wadau..

nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....

sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..

nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...

atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
 
Mwenzako amepandisha kodi kwa bidhaa zinazotoka Mexico, je wewe una nini cha kumfanyinzia huyo mswahili?
 
Itakula kwako usicheze kabisa na Wabongo eti ujenge ukuta gharama umbebeshe jirani mkorofi!

habari wadau..

nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....

sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..

nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...

atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..
 
Mkuu naomba asiwe tu Mama mwenye nyumba , maana hivyo vikesi vitakuwa vidogo sana
 
Hahahah, jamani we mwaga maji ya ugali kila siku, afu ufuge na bata wawe wanenda kwake ataujenga tu
 
kwenye mpk wako na wake kunAtakiwa kichochoro cha mita 3 kwahio moja na nusu unachangia ww na yeye anachangia moja na nusu
 
habari wadau..

nina jiran mswahili full kuchunguzana na kuja kunidoea mboga zangu....

sasa nimeamua kujenga ukuta ili kumzibia njia asiweze kuja.. ila sina hela za kujenga ukuta huo..

nataka nitumie style ya mjomba trump ukuta wake wa usa... naomben mawazo nitumie mbinu gani huu ukuta alipie jiran yangu mwenyewe...

atake asitake lazima yeye ndie alipie huu ukuta..

Yaani mdoeaji wa mboga apate uwezo wa kujenga ukuta halafu anayedoewa mboga hana uwezo wa kujenga ukuta. Kwa maneno mengine anayekula mboga ya millioni kumi anashindwa kujenga ukuta halafu anataka anayekula mboga ya shilingi mia tano ajenga ukuta. Hii haikuji kabisa = no logic!!
 
umeshajiuliza mexico na usa nani ni tajiri??

umaskini sio sababu.. mbona ukuta wanautaka usa ila wanalipia wa mexico... ni ujanja tu na ubabe

ni kipindi cha dunia kupata wafanya maamuzi ya hovyo na vichaa kim jong, trump,dutete baba lao putin kitanuka muda si mrefu.

mwingine yupo africa alichangisha michango ya rambirambi kala kona kuna wenzie walimuwahi kufungua akaunt tu haikuingia hata senti kawatimua yeye ma milion kimyaaa
 
umeshajiuliza mexico na usa nani ni tajiri??

umaskini sio sababu.. mbona ukuta wanautaka usa ila wanalipia wa mexico... ni ujanja tu na ubabe

Sasa solution unayo unauliza nini tena; ila ujue mazingira yako na jirani yako ni tofauti na ya huko USA na Mexico.
 
Mexico anauza cocaine tuu marekani
Mbona kuna wa Tz wanasafirisha unga China ,Malaysia,India nk ina maana unataka Ku conclude Tanzania inauza unga tu

Hizo unga zinalipiwa kodi kwani si zinaingizwa kimagendo..

Kwani Mexico viwanda hakuna Joh??

Mexico ndio nchi ya 3 Ku export bidhaa nyingi USA wame export thamani ya $236 billion last year
 
Back
Top Bottom