Jirani yangu anapenda kuanika chupi zake karibu na chumba changu

Iba moja uwe unainusa.
Afu nae mbona anavaa chupi za bei rahisi hivyo?
Manzi kama mzuri namuelewa huo ujinga hata mimi siachi kufanya. 🤣🤣
Kuna mwamba wangu anaiba anziandika jina lake.... Ni kuchapa chata chupi zotee 🤣🤣🤣
 
Unapenda Sana kucomment kuwa mleta uzi au comment flani ni "Chai" hivi mtu adanganye humu ili imsaidie nini? Kwanza hata hatujuani na % kubwa watu huleta habari za kweli kwa 99% kwa kuwa wanatumia fake ID. Itakuwa una tabia za uongo uongo unahisi na wenzio wapo hivyo hivyo
Kumbe unanifuatilia Eeeh! safi sana usiache Jomba,

Unasema 99% Habari za humu ni za kweli,je umethibitishaje hilo mpaka kupata hiyo 99% ?
Sasa huoni kua pengine mleta mada anaweza kua kwenye hiyo 1% iliyopungua hapo?
Mwisho tusipangiane vitu vyakucomment humu,halafu usichukulie too serious comments za hapa JF.
 
Wakuu,sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu.
Imekuwa ni mazoea sasa,kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba.
Wale mtakaotaka picha ya hizo chupi ,nimeiambatanisha hapo chini.
Asanten
Ni mweupe hivi halafu mrefu..
Kwa nilivyoziona hizo chupi.
 
Kumbe unanifuatilia Eeeh! safi sana usiache Jomba,

Unasema 99% Habari za humu ni za kweli,je umethibitishaje hilo mpaka kupata hiyo 99% ?
Sasa huoni kua pengine mleta mada anaweza kua kwenye hiyo 1% iliyopungua hapo?
Mwisho tusipangiane vitu vyakucomment humu,halafu usichukulie too serious comments za hapa JF.
Nina ID nyingine humu, karibu Kama Mara mbili umeniquote sijui huu ni mchai chai, Mara chai, Mara vitafunwa sijui nini....unaboaa.
 
Wakuu,sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu.
Imekuwa ni mazoea sasa,kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba.
Wale mtakaotaka picha ya hizo chupi ,nimeiambatanisha hapo chini.
Asanten
Anakupa taste, atlist ukiziona upweke unaondoka
 
Hizo chupi ni kubwa Sana.

Fanya hivi; muite umwambie "dada unavaa chupi kubwa sanaa. Akiuliza umeona wapi mwambie kwenye kamba. Ataona aibu haaniki tena
 
We jamaa bhana...sasa kama kamba ipo karibu na dirishani kwako ulitaka akaanikie juu ya Bati eboo...

Mi nafikiri cha msingi hapo ni wewe kushukuru sana maana vyupi vyenyewe vinavutia Yani ni visafi havina ukoko so unaeza piga navyo picha

Akung'utie nyeto kabisa
 
Wakuu,sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu.
Imekuwa ni mazoea sasa,kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba.
Wale mtakaotaka picha ya hizo chupi ,nimeiambatanisha hapo chini.
Asanten
Kamnunulie chupi za bei kali umpe zawadi na umwambie aachane na hayo masulupwete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom