Jirani yangu anapenda kuanika chupi zake karibu na chumba changu

Kabla picha haijafunguka nikajua mathong na mag-string ya kutosha eniwei kyupi ni kyupi tu.

Iba moja mzee baba
 
Muanulie kisha umpelekee na kumsifia picchu zake ni nzuri huku ukimuangalia usoni ili uone reaction yake. 😜
Wakuu, sijui nifanyaje kumuambia huyu jirani yangu wa kike aache kuanika nguo zake za ndani karibu na dirisha langu.
Imekuwa ni mazoea sasa, kila weekend kurundikiwa machupi kwenye kamba. Wale mtakaotaka picha ya hizo chupi, nimeiambatanisha hapo chini.

Asanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom