Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

Babake mwanaidi

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
641
693
Wazee kama nilivyowadokezea hapo juu.

Huyu jamaa tuko nae nyumba moja (2 in 1) ni bachela ila kwa uchunguzi nilioufanya kwa muda jamaa anamtongoza mke wangu.

Japo mke wangu hajaniambia ila vyanzo vyangu vimenithibitishia kwamba jamaa anamtongoza mke wangu na huenda hata keshamtafuna ila sina kidhibiti.

Sasa hebu mnishauri cha kufanya nilitaka kumfuata ila nikaona tunaweza kupigana.
 
Fanya utafiti, ukigundua tu kinachoendelea. Mchane makavu na ukiwa na ushahidi pia ikiwezekana mtandike.
Wife pia mpe kichapo baada ya kuhakiki.

Sina utani japo sijaoa ila uchungu wa mke unauma.
inaumiza sana.yani kuna muda nikimwangalia wife natamani nimmeze maana naona kama ananisanifu hivi. ila kuna muda utafika nitachukua maamuzi magumu sana we subiri
 
Back
Top Bottom