Jirani Mganga

Binafsi nakushauri usile, just don't eat. Binadamu wa siku hizi tumekuwa wanyama, hata kama sio mganga/mlozi/mchawi. Anaweza kukufanya kitu kibaya. Sema asante nashukuru, nimeshakula...
Ndo keshakula kuku hivyoo bora aendelee. Kuna binti alileta kwao mganga kijana mtanashati eti msukuma akamtibu na kumtaka juu binti kukataa akarushiwa majini.
 
Ndo keshakula kuku hivyoo bora aendelee. Kuna binti alileta kwao mganga kijana mtanashati eti msukuma akamtibu na kumtaka juu binti kukataa akarushiwa majini.
nakula tu dada yangu, nilishaacha kuogopa tena mkewe ndio rafiki yangu hum ndani ana roho nzuri mpaka basi
 
Back
Top Bottom