Jirani ananipa shidaa (2016)

BansenBurner

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,812
5,764
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.
 
Haaa bora alikuuliza ni umewahi kurudi labda alipanga kumaliza saa kumi na mbili asubuhi ukiwa umeshapitia kunywa supu.
 
Hah hah hah sasa umwambie nini apo jamani huoni utakuwa umemuingilis personal life ya mtu. Jaman!nazani busara ni kukaa kimya tu
 
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.

Dah! Kweli Waswahili walisema, Kwenye miti hakuna Wajenzi.
Na Upele umpata hasiye na kucha.
Jana wakati unatoka ,alipokuuliza huku akiwa amevaa kanga moja. ulikuwa hukumuelewa?
Kuna fasihi za aina mbalimbali ,siyo fasihi andishi tu.
 
Wa moja havai mbili, hata kama akiipewa.
Uwe unakunywa panadol, itakusaidia kulala
 
Dah! Kweli Waswahili walisema, Kwenye miti hakuna Wajenzi.
Na Upele umpata hasiye na kucha.
Jana wakati unatoka ,alipokuuliza huku akiwa amevaa kanga moja. ulikuwa hukumuelewa?
Kuna fasihi za aina mbalimbali ,siyo fasihi andishi tu.
Nimekuja kuelewa nilivyorudi. Ila kwa uchungu
 
Hah hah hah sasa umwambie nini apo jamani huoni utakuwa umemuingilis personal life ya mtu. Jaman!nazani busara ni kukaa kimya tu
Nataka nimuulize tu kama alivyoniuliza wakati nasepa.
Vp jirani mwaka umeufungulia wapi?....
M mwenzako bar ..
 
mwambie tu dada naona jana ulisherehekea vizuri, shem alikushughulikia fresh hahahah
 
Back
Top Bottom