gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Hivi hao waume za watu hawajuagi kusema 'hapana'?
Jibu: Kikawaida mwanaume ndiyo hutongoza, hufukuzia, n.k. Na kwa asili ni vigumu sana kwa mwanaume kukataa ngono endapo mwanamke ataridhia. Hivyo, fursa ya mwanamke kufanikisha ama kutofanikisha uzinzi ni kubwa sana. Kwa minajili hiyo, mwanamke akisema 'hapana' basi huo uzinzi hautatokea. Na kwenye hii mada ni mwanaume ndiyo aliyemfukuzia hadi kumpata huyo mke wa mtu. Kwa hiyo huo ndiyo msingi wa mimi kuuliza hilo swali.
umejibu vyema ila katika mtazamo mmoja tu.
hivi unaweza kula kama hutaki kula hata kama nimekupikia chakula kitamu vipi?