Jirani anamaliza kuku wa watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jirani anamaliza kuku wa watu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ELFU-ONEIR, Sep 17, 2012.

 1. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bandugu nimepiga kimya lakini nimeona pia si vibaya tukashirikishana ki mawazo.

  Ninajirani yangu ambaye tuna kaa naye nyumba ya kupanga ni mgeni lakin amepiga jitihada hadi kamnanihii mke wa mpangaji mwenzake. Na mbaya zaidi hajaonja akatosheka ni kama anataka kuu-"renoveti" mzinga uliokwisha chongwa na mwenzie, sasa mimi nimekosa la kufanya 1. Niwaache waendelee lkn itazusha tafrani mbeleni au niwaambie? Na nikiwaambia wanaweza kuhisi kuwa na wafuatilia sasa sina jibu juu ya nini kifanyike hasa ukizingatia na mimi mzinga wangu utakamilika soon
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  punguza wivu
  tazama ya kwako
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,230
  Likes Received: 12,942
  Trophy Points: 280
  Fanya uonacho ni kizuri kwako na kwao
   
 4. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka natarajia kuleta mzinga wangu mitaa hii eti ndo maana nipo concerned
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  huyo mwanamke wako kama ni mapepe
  hata umpeleke wapi atalambwa tu

  kama sio wala huitaji kubadili mtaa mzima ili uwe safe
   
 6. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kizuri kwangu ni wao kuheshimu ndoa but naweza mkataza kwa jirani then akahamia kwangu mara mzinga wangu utakapo tu joh.
   
 7. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  better safe than sorry
   
 8. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,364
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Umejuaje kama huyo jamaa ndo kafanya mishe au huyo mdada ndo kajilengesha.
   
 9. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nilikua likizo kwaio baazi ya minyato nilikua naichungulia. Kama kawa "majicho" hayana "panzia"
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  bora ulete asali ya nyuki wajane kwenye kichupa uwe unalamba tu.

  Mizinga peleka Tabora aisee
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi hao wake za watu hawajuagi kusema 'hapana'?
   
 12. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  labda niupeleke tabora kweli ili jamaa asije akau-renovate!
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kuna baadhi hawajui 'hapana' hata kidogo.

  Yaani kuna mmoja jamani hivi karibuni namwanzishia 'timbwili la asha ngedere'

   
 14. N

  Neylu JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hata mie nashangaa...!
   
 15. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  nawe mega hapo hapo
   
 16. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utashi wangu haujaniruhusu kuharibu ndoa za watu
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Baadhi yao, sijui wamelogwa? Hawathamini ndoa na viapo vyao hata kidogo! Inakera!
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  watasema hapana pale tu dushelele zote zitakapokuwa sambamba na uwiano wa ufundi
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  ya ngoswe muachie ngoswe
   
 20. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Duh! dunia imevaa bukta
   
Loading...