Jirani akiomba sabuni ni...?

Geovanni

Member
Jun 29, 2020
6
6
Jamani nmeamuzimisha jirani sabuni ya kipande jana usiku amenirudishia leo ikiwa ndogo kama line ya simu ya halotel alafu ina vinywele nywele duuh halafu anasema na kesho tena
 
Umepata thawabu mkuu maana umemsitiri jirani yako maana huwenda alishikwa ikapidi apige selfe we ksho. mpe malipo yako utayakuta kwa mungu
 
Back
Top Bottom