Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Kumekua na hali ya sintofaahmu kwa wakazi wa mji mdogo wa kigamboni wanotumia usafiri wa pantoni maarufu kama Mv magogoni cha kushangaza serekali kushirikiana na TAMESA wameendelea kulifungia macho tatizo la kupoteza mweleko au kuzima kwa injini katikati ya safari
Nitoe rai kwako waziri husika kufwatilia swala hili kunusuru maafa ambayo yatatupotezea vijana nguvu kazi na wazazi wetu
Nihoji maswali kwanini panton ni bovu wakati nauli zinalipwa
Je serekali aitambui mchango wa kiuchumi kati ya kigamboni na fery
Pia serekali ibadili mfumo wa uendrshaji wa panton kuboresha huduma za pale
By gilbert massawe