Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Tayari limeshafanya mtoki kwa majina ya wagombea kukosewa na wale walio susia kuwekwa kwa lazima ,huu kama si umbutwai na ujinga uliovuka kikomo tuuite kitu gani ?
Hivi Jecha na waliomtuma ambao wanahesabika wanamtisha Mzanzibari ? No ,uchaguzi hautambuliki na hautatambuliwa ,Jeshi liliopelekwa litunze amani kwa wote na sio kuwabana walio wengi ambao ni CUF ,si Unguja si Pemba CUF ni wengi kwa asilimia kubwa 97% hawaitaki CCM ,huo ndio ukweli ,kumbuka kura ya maoni asilimia ngapi walihitaji serikali ya umoja wa kitaifa ?
Kama Sheni anategemea Jeshi nina wasiwasi jeshi hilo hilo litamgeuka yeye na wenziwe na kusimika mshindi wa kweli wa uchaguzi uliopita tarehe 25 /10/2015 na wale akina Jecha na waliomlazimisha kuwekwa chini ya ulinzi wakisubiri kujibu hoja.
Kazi kwao tip of the ice berg. Naona bora Sheni ajiweke pembeni ila kushikilia ni kutafuta jambo la idhara na aibu ,kitu ambacho kwa mimi naona hastahili.