Wasianzishe EWURA ya sukari pekee bali na EWURA ya dawa za binadamu ili mtindo wa kuuziwa dawa feki na zilizokwisha muda wake ukomeshwe. Sisi siyo guinea pig jamani!
Haita saidia je viwanda vyetu vinazalisha sukari ya kutosha? Huwezi weka bei elekezi wakati viwanda havizalishi.. Nashauri kila kiwanda kipewe kiwango cha kuzalisha sukari hii itatosha kuweka bei iliyopangwa na serikali kuwa stable lakini kuanzisha bodi ni muendelezo wa taasisi zisizo na manufaa kwa wanch zaidi ya vichaka vya kupiga dili.
Huo utakuwa ni ufujaji tu wa pesa za walipa kodi ,mmlishaanzisha taasisi nyingi na hatuoni matokeo tuliyo yatarajia sasa ya nini tupoteze muda na pesa ...
Tumieni Sheria zilizopo kukabiliana na uhujumu Uchumi na kama mnaziona hazitaleta tija ,tuna Bunge nendeni mkazifanyie marekebisho huko kwa maslahi ya Taifa sio kutujazia utitiri wa Taasisi na hatuoni tofauti za uwepo wake..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.