Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Ni kama pana fukuto fukuto pale nssf,viti havikaliki kuelekea kuikabili meza ya Dr. JPM ila tofauti na majipu ya kukamua hili itabidi shoka itumike kwanza kukikuta kiini maana lime pevuka mno, kwa kuanzia tu Bodi hivi sasa iko chali na watu nyoyo zina gongea migongoni sio mchezo,na tuvute subira.