Jipu la Dawasa Kawe Limeiva. Waziri litumbue!

bostik

New Member
Oct 16, 2015
1
0
Siku ya 10 sasa Wachina wanaoweka bomba jipya la maji wamekata mabomba yote eneo la Mbezi Tank Bovu. Tumeenda Kawe kituo Cha Dawasa lakini wametia pamba masikioni. Huku mtu wao anatuuzia ndoo ya maji kwa Sh. 850 bila aibu. Hivi Dawasa itaweza kujiendesha yenyewe kwa mtindo huu? bill yangu mwezi huu sh 1200 Badala ya 90000!
 
Back
Top Bottom