Jipu Airport linatumbuliwa lini?

matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,224
3,949
Uwanja wa ndege kunatakiwa kusafishwa haswa kumeoza. Waziri inabidi avae miwani ya mbao amkome nyani giladi dharau zimezidi hii nchi.


CWlVMvOVAAAsLsn.jpg


10289849_201809600162832_7564339544025732065_n.jpg


12376695_201809530162839_1393999632541989298_n.jpg
 
Hii ndio inaitwa poor and outdated planning. Vibanda vinaoteshwa kila kukicha jipu hili kwa TAA.
 
achana na wahindi wanajua jinsi ya kuwanyamazisha watu weusi fikiria ikitokea dharura ya moto hapo airport itakuaje maana hata ilipo barabara wameweka restaurant. pale airport kuna wahindi wa flamingo restaurant wamepewa hati miliki ya kila kitu pia nina wasi wasi na kusafirisha sembe/vipusa
 
Ningekuwa boss wa pale airport dar kwa minajili ya kulinda kazi yangu ningevunja huo uchafu hapo
 
Labda tusubiri Mhe. PM akipita kesho kuelekea KIGOMA kwa Ziara anaweza kupaona pale na kutumbua hilo jipu la hiyo RESTAURANT iliyojengwa barabarani.
 
Kwa kawaida na utaratibu mzuri restaurant zinatakiwa zikae ndani ya jengo la uwanja wa ndege..zaidi yapo zibomolewe tu...
 
Labda tusubiri Mhe. PM akipita kesho kuelekea KIGOMA kwa Ziara anaweza kupaona pale na kutumbua hilo jipu la hiyo RESTAURANT iliyojengwa barabarani.

Kuna watu wanasema kushughulikia watu kama awa ni kufanya maigizo inatakiwa turekebishe katiba kwanza.
 
Katiba sio biblia. Utashi wa kiongozi unahitajika. Big up kwa Mh. MAKONDA Kinondoni sasa wanafanya kazi manispaa sio zamani.
 
Ni kwanini Katibu kiongozi mh Sefue nae amebadilika ni.kutokana na.mfumo anoufanyia kazi. With due respect to my presidaa JK. Isingekuwa JK Jamii au jamboforum zisingekuwepo
 
Back
Top Bottom