Jipende kwanza wewe kabla ya kumpenda unaemfikiria

Pedra buyer

Member
Apr 26, 2015
97
31
Jipe thamani mwenyewe, jiheshimu mwenyewe, jijali mwenyewe. Alafu uone huyo unaemfikiria kama hatofanya unavyofanya atakuwa anamapungufu hakufai achana nae.

STORY FUPI.
Kuna Dada mmoja nafahamiana nae anafanya kazi Restaurant moja hivi huwa napenda kwenda kushtaftai sometime kanizoe sana as a friend, ni mzuri sana ila kuna sehem ya mwili wake kwa yeye anaona kama imekosewa kutengenezwa na muumba hadi kusababisha wanaume kumshusha thamani na yeye kwakuwa kajiona hivyo kajishusha thamani. Basi wajanja wakawa wanamega kiurahisi na kumuacha, Siku moja kaniambia kaka Bedra buyer kwanini mimi sikuumbwa kama flani sipendi kuwa hivi na kuzarauliwa huku machozi yakimtoka, nilimpa moyo kwa ushsuri. Si vibaya na wewe ukampa

Ushauri

Ahsante
 
Yaani hata kama una matege kana mimi, ukijikubali na kujirespect surely utaishi na raha, sbb kutu cha kwanza ni kujikubali nwenyewe, hayo yakukubalika na wengine yasimuumize mtu kichwa saana
 
Shida ya hao ni kuwa hawajiamini na wanajisikia vilevile hawajui kukataa kwa kigezo chaa shape inalipa. Sasa kama akijitambua akajithamini nadhani hatofanywa hivyo. Alewe sifaa na kusahau kuwa miluzi mingi humpoteza mbwa.
 
Mkuu,umeitwa ukachukue mbona sikuoni ukikatisha kwenda kuchukua au ulikuwa unapima kina cha maji?

Eti bora unisaidie, we ni mrefu kidogo? Maana bibo lenyewe liko juu kweli nimeshindwa kulifikia. Ndo narusha mawe apa ufupi shida asee... 'Valentina'
 
Last edited by a moderator:
Yaani hata kama una matege kana mimi, ukijikubali na kujirespect surely utaishi na raha, sbb kutu cha kwanza ni kujikubali nwenyewe, hayo yakukubalika na wengine yasimuumize mtu kichwa saana

Nimejikuta Nimekupenda bure sijui kwanini
 
Mi nilingolewaga jino mbele na kupihwa chata mashavuni siba hata haja ya tatoo tena na jikubal
 
Huwa najikubali mpaka najitamana... "Nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu, asante Mola" pamoja na macho ya kibinadamu kunidanganya kuwa sio mzuri lakini najua mbele ya macho ya Mwenyezi Mungu mie ni mzuri saaana...
 
Huwa najikubali mpaka najitamana... "Nimeumbwa kwa jinsi ya ajabu, asante Mola" pamoja na macho ya kibinadamu kunidanganya kuwa sio mzuri lakini najua mbele ya macho ya Mwenyezi Mungu mie ni mzuri saaana...

You are beautiful just the way you are darling

Napenda wanawake wanaojiamini kama wewe
 
Mie nahamu ya kutoa ushauri ila sijui ni sehemu gani ili kulenga moja kwa moja kushauri.

Usisahau

*****************

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Back
Top Bottom