Jipatie wafanyakazi wa majumbani/ofisini wa muda


MR. JERO

MR. JERO

Senior Member
Joined
May 16, 2014
Messages
106
Points
225
MR. JERO

MR. JERO

Senior Member
Joined May 16, 2014
106 225
JERO CO-ORDINATOR LTD

Kampuni yetu inatoa huduma zifuatazo

Inatoa vijana kusaidia kazi za muda mfupi mfn. Siku/wiki
majumbani na ofisini

Vijana katika kazi za mikono km
usafi majumbani
usafi maofisini
usafi mashuleni
usafi ktk nyumba za ibada
kuhudumia bustani
ufuaji wa nguo
uuzaji wa bidhaa


Pia kinamama ktk ulezi wa muda

Tunatoa huduma hizi kwa Dar es Salaam tu

Tupo magomeni mwembechai

Sim+255717267636
jamezydeo@gmail.com
 
Doris Gabriel

Doris Gabriel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Messages
1,060
Points
2,000
Doris Gabriel

Doris Gabriel

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2017
1,060 2,000
JERO CO-ORDINATOR LTD

Kampuni yetu inatoa huduma zifuatazo

Inatoa vijana kusaidia kazi za muda mfupi mfn. Siku/wiki
majumbani na ofisini

Vijana katika kazi za mikono km
usafi majumbani
usafi maofisini
usafi mashuleni
usafi ktk nyumba za ibada
kuhudumia bustani
ufuaji wa nguo
uuzaji wa bidhaa


Pia kinamama ktk ulezi wa muda

Tunatoa huduma hizi kwa Dar es Salaam tu

Tupo magomeni mwembechai

Sim+255717267636
jamezydeo@gmail.com
Je anaetafuta ajira mnamsaidiaje
 
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
6,093
Points
2,000
Age
36
Hance Mtanashati

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
6,093 2,000
JERO CO-ORDINATOR LTD

Kampuni yetu inatoa huduma zifuatazo

Inatoa vijana kusaidia kazi za muda mfupi mfn. Siku/wiki
majumbani na ofisini

Vijana katika kazi za mikono km
usafi majumbani
usafi maofisini
usafi mashuleni
usafi ktk nyumba za ibada
kuhudumia bustani
ufuaji wa nguo
uuzaji wa bidhaa


Pia kinamama ktk ulezi wa muda

Tunatoa huduma hizi kwa Dar es Salaam tu

Tupo magomeni mwembechai

Sim+255717267636
jamezydeo@gmail.com
Weka picha za hao wadada tuwathaminishe kama wanafaa au laah.
 
MR. JERO

MR. JERO

Senior Member
Joined
May 16, 2014
Messages
106
Points
225
MR. JERO

MR. JERO

Senior Member
Joined May 16, 2014
106 225
Ndio.

Nahitaji mfanyakazi wa kike ila nataka msafi msafi pia awe mkubwa kiasi akiwa mdogo sana nitamuonea huruma kumfanyisha kazi.
Karibu. Ila itambulike kua, huyo ni mfanyakazi wa muda tu. Atafika kwako asubuhi na kuondoka jioni baada ya kukamilisha majukum yake. Yaweza chukua wiki au zaidi kulingana na mkataba husika
 
MAWAZO UJENZI

MAWAZO UJENZI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
2,113
Points
2,000
MAWAZO UJENZI

MAWAZO UJENZI

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
2,113 2,000
Picha za nini sasa!!!!
 
kenzi

kenzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Messages
423
Points
500
kenzi

kenzi

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2015
423 500
Karibu. Ila itambulike kua, huyo ni mfanyakazi wa muda tu. Atafika kwako asubuhi na kuondoka jioni baada ya kukamilisha majukum yake. Yaweza chukua wiki au zaidi kulingana na mkataba husika
Mshahara wa wafanyakazi wa nyumbani ukoje
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
2,879
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
2,879 2,000
Siku hizi kuna utapeli wa Watu kusema wanakutafutia mayaya , wanamwambia Mtu atoe hela ya nauli, huyo Yaya akija anakaa muda mfupi anafanya vituko makusudi ili ama umtimue Wewe mwenyewe Au atoroke yeye mwenyewe! Akitoroka kunakuwa na Ka mtandao ka wengine kujifanya polisi, wasamalia wema n.k Yule Yaya anajidai amepigwa na kufukuzwa bila kulipwa, mara wakwambie ametekwa na Watu Kwa hiyo wanataka hela kiasi flani ili wamwachie! Yani ili mradi ni usumbufu sana! Yani unakuta binti mmoja tu wanamfanya chambo ya kupigia hela! Kwa hiyo buyer beware!
 

Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,924
Top