Jipatie Vitabu vya Mwalimu J.K. NYERERE

Salehe Ndanda

Member
Jun 15, 2009
41
3
Twapenda kuwafahamisha kwamba vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kikiwemo kitabu cha "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" kwa lugha ya Kiingereza, Africa Today and Tomorrow, Nyufa, Tumetoka Wapi, Tuko Wapi, Tunakwenda Wapi na vinginevyo vya enzi za TANU vinapatikana kwenye Ofisi za Taasisi ya Mwalimu Nyererere zilizopo Mtaa wa India na Makunganya, kwenye jengo refu lililopo kwenye kona lenye ghorofa 10. Mkabala na Hospitali ya Dr. Khan kwa upande mmoja na Hoteli inayoitwa Heritage Motel.

Piga simu Na. +255 (22) 211 8354 na +255 (22) 211 6040 au +255 (0)716 950 858.
 
Back
Top Bottom