Jipatie vifungashio vyenye nembo ya biashara yako

Braza POPO

Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
42
Points
95

Braza POPO

Member
Joined Sep 7, 2017
42 95
tangazo la mifuko.jpg


>>Tunatoa huduma ya kuchapa mifuko ya kupaki UNGA, CHUMVI, CHOKAA, MCHELE, VYAKULA VYA MIFUGO N.K
>>Tunayo MIFUKO MBADALA (NON-WOVEN),tunayo mifuko ya unga wa lishe na mifuko ya karatasi.
>>Mashine za kufunguia mifuko tunazo, sindano zake na uzi pia.
>>Tunatumia mashine za kisasa na rangi bora zaidi.
>>Kama huna nembo tunakutengenezea.
>>Tunafanya kazi kwa ukakika
>>Bei zetu ni nafuu sana...
>>Tunapatikana DAR ES SALAAM, Magomeni -KAGERA
WhatsApp - 0717 367 693
Piga simu - 0757 618 176
INTAGRAM @watusmartpackaging
 

msabillah

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,906
Points
2,000

msabillah

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,906 2,000
Mimi nahitaji vifungashio vya bizaa ndogo ndogo kama karanga viwe bora kabisa na logo natengeneza mwenyewe itakuwa bei gani?
 

joseph leonidace

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
478
Points
500

joseph leonidace

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
478 500
mkuu bei yake iko vp kwa mifuko hyo
kg 25
kg 10
kg 5
unauza kg bei gn au minimum price kg ngap pamoja na printing

waweza nipa bei ya full packeges yenu mnayotoa ili kuepuka usumbufu wa kuuliza uliza maswali
 

jang

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Messages
1,184
Points
2,000

jang

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2014
1,184 2,000
mkuu bei yake iko vp kwa mifuko hyo
kg 25
kg 10
kg 5
unauza kg bei gn au minimum price kg ngap pamoja na printing

waweza nipa bei ya full packeges yenu mnayotoa ili kuepuka usumbufu wa kuuliza uliza maswali
Kama hutojali naweza kufanya design, bei ya hiyo mifuko sifahamu
 

Forum statistics

Threads 1,365,143
Members 521,116
Posts 33,338,257
Top