Jipatie unlock code kwa bei nafuu kabisa

emma115

Senior Member
Apr 28, 2012
135
167
Jipatie Unlock code Tshs.7500

Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 G500


Vodafone Smart VF695 V695 V785 VF795 V795 V200

Kwa mawasiliano pigs 0757426730
 
Ningeshauri ungefanya 5000 ili uweze kuvutia wengi, hyo 7500 naona kama ume overcharge
 
Au sijakupata simu yangu imejifunga baada ya kuweka line nyingine mpya na inahitaji unlock pin
Tecno mini P 6
 
IPhone 6 s + IPO ipotu sijajua tatizo ni nn inaniandikiaga "hello" zijajua tatizo ni nn!
 
JE KAMA ULIWAHI KUJARIBU KUINGIZA UNLOCK CODE ZA UONGO MPAKA SIMU IKAFUNGWA(BLOCKED) IKAANDIKA "UNLOCK SIM BLOCK" , JE UFANYEJE?
kwasasa hatuna huduma kwa ambazo zimekuwa blocked
 
Au sijakupata simu yangu imejifunga baada ya kuweka line nyingine mpya na inahitaji unlock pin
Tecno mini P 6
Ntumie IMEI za simu kwa kubonyeza *#06# huwa ni takrimu Kumi na tano

Tuone kama tunaweza kukusaidia
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom