Jipatie umeme wa solar kutoka kampuni ya uhakika (umechoshwa na luku!, mgao!, upo kijijini!)

mkuu hapa umeprove hoja ya ubabaishaji.... Huna hata mfano wa say house yenye matumizi ya wats x itakuwa kwenye range of y to z shs???? Seems u have no ideal of what u are marketing....!!!


Mkuu jukwaa la watu wengi, kuna mpaka competitors humu, kila mtu anaoperate biashara yake in certain procedures, its a free country after all! Nikukuwekea bei wewe, kila mtu ataka bei ya kitu chake hapa, wengine watakosoa pricing etc mimi lengo la kupost nikuwapa watu habari juu ya hii huduma na inapopatikana. Ataependa atatutafuta for serious business, asiependezwa basi atusamehe kwa usumbufu wa kusoma hapa! Nasisitiza its a free country wadau do what you want. Na namalizia kwa kutoa shukrani zangu za dhatiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa wale wote mliopiga simu na kuulizia zaidi, kuweka oda, na kutualika maeneo mliko tuwaletee biashara. Huo ndio usomi wa JF.
 
Habari zenu wakuu!

ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali.

Wanauwezo wa kuwahudumia wateja wa aina zote, Wameshafanya miradi mbalimbali ambayo imeleta matokeo mazuri, ya uhakika na yakuaminika inayojumuisha

Kufunga Solar kwenye ofisi za miradi na asasi mbalimbali za vijijini.
Kufunga Solar kwenye minara ya simu ya kampuni kubwa ya simu.
Kufunga Solar kwenye Hoteli kadhaa za kitalii mbugani.
Kufunga Solar kwenya Dispensary ya vijiji kadhaa
Kufunga Solar shule kadhaa za Sekondari
Kufunga Solar Majumba ya vijijini ya wananchi wa kawaida na vizito kadhaa.

Kama ungependa kuona client base yetu tafadhali tuwasiliane na unakaribishwa.

Bei inategemea na ukubwa wa mradi, ila bei inaridhisha, na kazi unapata ya uhakika.

Mawasiliano

Office Location
Arcade House, 1st Floor, Old Bagamoyo Road, Mikocheni B

Address
P.O .Box 29961
Dar es Salaam

Mobile:
+255 (0) 654 322 585

Email: info@espitechtz.com

Website: Espitech | Home
Aisee nimestushwa na ufungaji wa Panel hapo kwenye picha juu,ni Tanzania kweli?kwa ufungaji huo Battery zako hazita pata Charge vizuri kwa maana mwanga wa jua hautaweza kutua vizuri juu ya uso wa panel.Angle inatakiwa marekebisho lasivyo kituo kitakosa umeme wa nishati ya jua wakati wa usiku kwa kuwa battery hazikupata charge ya kutosha
 
mkuu hapa umeprove hoja ya ubabaishaji.... Huna hata mfano wa say house yenye matumizi ya wats x itakuwa kwenye range of y to z shs???? Seems u have no ideal of what u are marketing....!!!

we do serious business sio guessing! We wateja huwajui so achana nao kabisa ukimpa estimate akija ofisini anataka bei ileile ya estimate ukibadili anaanza kuwaambia mabosi unataka kumtapeli na kupata cha juu, sasa bosi atabaki anashangaa bei uliomtajia uliitoa wapi na kwa mteja hujasavei ndo mwanzo wa kuonekana haupo serious na kazi. Engineers mnaelewa nadhani kuwa bei ya kazi inatokana na survey results. Afu survey unafanyiwa bure kwanini uogope na kukwepakwepa? Tufanye mambo kisomi we kungangania ujibiwe bei hapa ni woga tu na low self esteem ni haki yako kudai price quotation, suveyor, company profile, registration documment hata memmorandum of association na usinunue vilevile kama price range haiko within your budget. Ushauri tu mteja ni mfalme jua thamani yako, sio mtu unaenda kununua gari mikono nyuma kama enzi za mkoloni
 
Aisee nimestushwa na ufungaji wa Panel hapo kwenye picha juu,ni Tanzania kweli?kwa ufungaji huo Battery zako hazita pata Charge vizuri kwa maana mwanga wa jua hautaweza kutua vizuri juu ya uso wa panel.Angle inatakiwa marekebisho lasivyo kituo kitakosa umeme wa nishati ya jua wakati wa usiku kwa kuwa battery hazikupata charge ya kutosha

Hapo ni Tanzania na hiyo Pannel ina miaka 2 hakuna tatizo lolote, angle ipo sawa kabisa, na umeme upo wa kutosha na zaidi, na battery zinapata charge ya kutosha so worry not, kama nilivokuambia takribani miaka miwiwli, client yupo very happy and satisfied hajawai kucomplain even once, na kama picha inavojieleza huyo ni very big client na ana equipment quality audits kila mwaka so hata xpart auditors wao wamepita hapo na wameridhishwa na kiwango na tunafanya nao project ingine saivi. Maybe utaalamu wako unawalakini mkubwa!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom