Jipatie umeme wa solar kutoka kampuni ya uhakika (umechoshwa na luku!, mgao!, upo kijijini!) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jipatie umeme wa solar kutoka kampuni ya uhakika (umechoshwa na luku!, mgao!, upo kijijini!)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lara 1, Jul 20, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu!

  ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali.

  Wanauwezo wa kuwahudumia wateja wa aina zote, Wameshafanya miradi mbalimbali ambayo imeleta matokeo mazuri, ya uhakika na yakuaminika inayojumuisha

  Kufunga Solar kwenye ofisi za miradi na asasi mbalimbali za vijijini.
  Kufunga Solar kwenye minara ya simu ya kampuni kubwa ya simu.
  Kufunga Solar kwenye Hoteli kadhaa za kitalii mbugani.
  Kufunga Solar kwenya Dispensary ya vijiji kadhaa
  Kufunga Solar shule kadhaa za Sekondari
  Kufunga Solar Majumba ya vijijini ya wananchi wa kawaida na vizito kadhaa.

  Kama ungependa kuona client base yetu tafadhali tuwasiliane na unakaribishwa.

  Bei inategemea na ukubwa wa mradi, ila bei inaridhisha, na kazi unapata ya uhakika.

  Mawasiliano

  Office Location
  Arcade House, 1st Floor, Old Bagamoyo Road, Mikocheni B

  Address
  P.O .Box 29961
  Dar es Salaam

  Mobile:
  +255 (0) 654 322 585

  Email: info@espitechtz.com

  Website: Espitech | Home
   

  Attached Files:

 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu mkono mtupu haulambwi.
  Angalau ungechangia basi kwa hilo tangazo lako la biashara.
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Nataka kwa matumizi ya nyumbani tu nitapata kwa sh ngapi?
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  we nawe mdau ukiwa huna cha kuchangia bora ukae kimya, hili jukwaa wenye forum yao wametupa kiroho safi tuweke matangazo bureeeee, sasa wewe usiwe na roho ya kwanini! kama huna cha kuuza omba Mungu akupe na utapewa sio kuumia roho kwanini tunatangaza bure! Sasa tusipotangaza si jukuwaa litadoda!!!!!. Nawapa big up wamiliki wa huu mtandao kwa kuwa watu wasio na njaa ndogondogo.
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Punguza jazba mkuu! Kwa namna hiyo biashara itakushinda.
   
 6. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hivi zipo solar zenye uwezo wa kutumia Fridge na Pasi maana nimewahi kufatilia nikaambiwa kwa matumizi tajwa (pasi,fridge) huwa haziwezi kufanya kazi!
   
 7. Mracho Ngongoti

  Mracho Ngongoti Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kama nina welding machine 1, computer 1, taa 4, radio na Tv nitahitaji panel ya ukubwa/uwezo gani? Kuna vifaa vya ziada vitahitajika? Itanigharimu sh. ngapi?
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  sio jazba, mimi na ndibalema tunajuana, nimeona hapo amelike comment yako. Yeye alinibipi mimi nakampigia, jazba ningemtafuta live! Hii ni changamsha jukwaa.
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Mkuu piga simu hiyo uwasiliane na engineer, mimi nipo masoko hivo nisikudanganye buree.
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  If you are serious Wasiliana na ofisi, waje wasurvey jumba lako, wajue kiufundi kabisa utaitaji panel ipi, inaweza kuwa una jumba la familia nne atiii.:israel: afu nikaasume unanyumba ya familia ya watu wa nne.
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  Pole sana mkuu, makampuni mengi yanayojitangaza kusupply solar hawana interest na watumiaji wa majumbani, customer service yao ni sifuri kabisa. Huyu kajitangaza usithubutu kuwaendea, watakachokwambia utavunnjika moyo sana. Bora udeal na makampuni madogo au watu binafsi.
   
 12. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Bwana kama hamuwezi kutoa jibu hakuna haja ya kupiga simu. Ma injinia wenyewe wajuaji kama nini. Wauzaji wa sola ni wengi sana, tena bei chee kwa nini nihangaike na mtu ambae hatoi ushirikiano. Eni wei, meseji yako imekuwa delivedi
   
 13. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Pole kwa kusumbuliwa na makampuni ya solar! Sisi si wasumbufu na wateja wote kwetu ni sawa, hamna anayethaminiwa zaidi ya mwenzie, sisi wateja wote ni wafalme. Hata ukitaka kujua tu achilia mbali kununua karibu ofisini kwetu ujifunze tu, kwani kujifunza ndo mwanzo wa kununua! Wateja wote mnakaribishwa na tunahudumia watu wote hata hitaji lako liwe dogo vipi usisite kuja. Nakuahidi utafurahi wala hutojutia au kuvunjika moyo
   
 14. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Muke ya mzunguuuuu! Usiboreke mwaya nimechelewa kujibu, ujue majibu sio general kama unavozani, inahitaji technical anlysis, unaweza kutajiwa bei kumbe kubwa sanaaa au haitoshi, tunaepuka ubabaishaji wenzio sio mwanzo unasema bei hiii afu unageuka, ndo maana evaluation ni muhimu. Njoo kampuni yetu banaaa! Msalimie Mzungu wako!
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwangu solar business tz haina direction, ni mchuuzi wa kariakoo tu unayewez akumwambia nina nyumba jumla ya taa 15 (kwa mfano) na nataka kuwatch TV -TV system na radio inclusive, na atleast system ya inverter iwe ya 500w. Wachuuzi peke yao ndiyo wanaowez akukupa rough estimate ya gharama hata kwa simu au email. Ninyi mnaojifanya makampuni makubwa mmejaa porojo, uongo na kujiona sana. Customer service ni sifuri. Uelewe kuwa mtu anapotaka kupata estimate ana sababu zake, wewe unadai nije ofisini kwenu, yaani nitoke huku songea kwa ajili ya kuja ofisini kwako tu kupiga porojo na kuona nyodo za mareceptionist wako?
   
 16. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ni mwanzo mzuri, lakini inahitaji juhudi zaidi kuweza kutoa huduma nzuri na zenye kuwasaidia watu wengi zaidi
   
 17. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Weka hapa bei ya panel wat 120. Betri wat 100 na inveta wat 500 mkuu weka hapa na sio pm mkuu
   
 18. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Mdau kwa niaba ya makampuni yaliyokutendea ndivo sivo naomba radhi! Ila akioza mmoja sio wote, nimeweka simu hapo sababu ni mtaalam wetu huyo, mimi nipo masoko kama upo songea kuna email pia, ukiambiwa uje ofisin kuna maana nyingi seeing is believing! Usipende kununua mbuzi kwenye gunia! N dont judge kampuni yetu kwa experience frm other companies. If you are serious communicate na mtaalamu, wengine washabiki tu.
   
 19. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  toa cost estimate ya hicho nilichouliza unaweza hata uka-pm
   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Mkuu jukwaa la watu wengi, kuna mpaka competitors humu, kila mtu anaoperate biashara yake in certain procedures, its a free country after all! Nikukuwekea bei wewe, kila mtu ataka bei ya kitu chake hapa, wengine watakosoa pricing etc mimi lengo la kupost nikuwapa watu habari juu ya hii huduma na inapopatikana. Ataependa atatutafuta for serious business, asiependezwa basi atusamehe kwa usumbufu wa kusoma hapa! Nasisitiza its a free country wadau do what you want. Na namalizia kwa kutoa shukrani zangu za dhatiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa wale wote mliopiga simu na kuulizia zaidi, kuweka oda, na kutualika maeneo mliko tuwaletee biashara. Huo ndio usomi wa JF.
   
Loading...