Jipatie TV smart kwa bei nafuu

Mkuu hii ya nchi gani? Iliko tengenezwa
InShot_20181208_003438474.jpeg
 
Kajifanya hajaona.
Kunajamaa flani anauzi wake humu wa electronics yule jamaa kidogo yuko smart siyo hawa wanao weka bandiko hapa bei tufate insta sijui hapa wanapaona Facebook nilikua napitiaga nyuzi zake nikavuta ka kideo nikiwa mkoani huyu kumuamini ni tabu jirekebishe mkuu watu wwnataka full dtel sio hivi unavyo post ndio mana huwa mnafungua uzi na kupotea
 
Back
Top Bottom