Jipatie notes za Bailojia (Biology) na Kemia (Chemistry) kwa ngazi ya kidato cha 1 mpaka cha 4

Mood tz

Member
Apr 22, 2019
11
5
Habari za muda huu ndugu zangu.

Mimi ni mwalimu wa masomo ya bailojia (Biology) na kemia (Chemistry) kwa ngazi ya kidato cha 1 mpaka cha 4.

Hivyo kutokana na mzunguko wa materials kuwa bado mgumu kwa baadhi ya wanafunzi na walimu pia hasa kwa masomo tajwa hapo juu hivyo nimeona bora niweze kuandaa notes ambazo ni mzuri na rahisi kwa kuzitumia katika kujisome kwa wanafunzi na kufundishia kwa walimu na notes zinauzwa kwa gharama ya sh.500 kwa kila topic kwa njia ya PDF.

Kwa maelekezo mengi tafadhali piga 0628707503 pia namba hii inapatikana WhatsApp au nitafute telegram group @moodnotes1

Ahsante
Sir. Moodjuta
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom