LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Joined
- Jan 25, 2013
- Messages
- 1,134
- Points
- 1,250
Habari. Kikubwa sio bei bali awali ya yote, ni haki yako nikujuze kile utakachokipata pindi utakapofanya kazi na mimi.Toa bei bwana acha kujikausha
Mfano:
1. Unapata concepts 3 za kuchagua
2. Uhuru wa kuchagua, kukosoa, kurekebisha usio na ukomo
3. Formats utakazopata na maelezo juu ya original logo files zao utakazopata, masuala ya free offers mbalimbali.
4. Blog address ili uone kazi zangu
5. Kazi zangu mpya
6. Anuani ya makazi na namba za simu nk
Taarifa zote hizi zimejumuishwa sehemu moja na utazipata kupitia: WhatsApp au e-mail
Kwa mahitaji ya logo au label pls nicheki
Whatsapp: 0688999006
Email: logoriddim@gmail.com