Jipatie nembo na lebo

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
1,118
Points
1,250

LOGORIDDIM

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
1,118 1,250
SPECIAL OFFER!
Kwa kila kazi moja ya kutengeneza logo utakayofanya na mimi Utapata offer ya bure ya
1. Proforma Invoice Template.
2. Tax Invoice Template
3. Delivery note template
4. Headed Paper Template
5. Biz Card Template

Email: logoriddim@yahoo.com
Ili kujiridhisha juu ya uwezo wangu Tafadhali tembelea:

Mfano wa kazi za wateja.
View attachment 306929

Karibuni sana.

ImageUploadedByJamiiForums1448163450.493449.jpg


ImageUploadedByJamiiForums1448163509.444177.jpg
 

salaniatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,445
Points
2,000

salaniatz

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,445 2,000
mkuu kuna haja ya kuwa na logo mbali mbali kwa kila huduma mf baresa anatumia logo tofaut ktk kila huduma usafir,vinywaji nk au moja tu yatosha ktk huduma zote...........kwa maulizo mengine ni iv kuna main logo na sub logo?
 

salaniatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,445
Points
2,000

salaniatz

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,445 2,000
Habari. Ndio unahitaji kuwa na logo mbalimbali kwa kila huduma cos kila logo husika itakuwa na uwezo wa kujitambulisha yenyewe kutokana na huduma inayotoa. Mfano mwingine zaidi ya bakhresa ni IPP, kampuni mama ambayo ina makampuni mbalimbali ambayo kila moja lina logo yake. Ila sasa nashauri kuwa na mwingiliano japo Mdogo wa elements kati ya logo mama na hizo nyingine mfano ni Google. Wanatumia logo mbalimbali kwa kampuni zao but wanatengeneza connection kati yao kwa kutumia element ya color (orange, blue, red na green)
SANTE SANA NIMEKUSOMA MKUU TUPO PAMOJA
 

Richard Njau

Member
Joined
Jan 12, 2012
Messages
45
Points
95

Richard Njau

Member
Joined Jan 12, 2012
45 95
Tambua kuwa, kuona ni kuamini. Ni rahisi!
Tafadhali ni 'pm' na uniwekee hapo anuani yako ya email au namba ya whatsapp nikutumie baadhi ya kazi zangu mpya ili upate kujiridhisha juu ya uwezo wangu.
Aidha pia, ukifanya hivyo, ntaweza kukupatia link ya page yangu ya facebook pamoja na ile ya blog yangu.
njaurl@gmail.com, nitumie brother
 

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,995
Points
2,000

kluger

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,995 2,000
Je ili kuandaa logo yangu utahitaji information gani za kampuni yangu? Je unatoa business card na headed letter pia? ? Ahsante sana
 

Forum statistics

Threads 1,354,543
Members 518,533
Posts 33,093,344
Top