Mosses Anney
Member
- Sep 2, 2015
- 8
- 3
- Papai hizi ni papai za mda mfupi miezi sita tu unavuna, papai hizi ni tamu na nyekundu ndani ina zaa mpaka papai 105,
- Soko lake ni kubwa sanaa,
- Eka moja inauwezo wakukupa mpaka milion 100.
Tufanye hesabu kidogo:
1 acre =1000/1200 miche ya papai
kila mti wa mpapai unazaa 105
kila papai ni Tsh 1000 japokua inaweza kuwa zaidi kulingana na ukubwa.
kwahiyo =1000miche X 100papai/mti X 1000Tsh =100,000,000Tsh
Mche Tsh 3500
Mbegu Tsh 30,000 kwa pakti inakuwa na mbegu 70/80
0752972727