Hizo mashine original kweli au ni fake
Hizi Mashine zimeshaharibiwa soko lake na wale wa promotion... Sio mashine imara na haziwezi kuhimili dakika 50 zikiwa na nguvu ileileNi Original zina warranty ya mwaka mmoja,niambie ulipo nikuletee ujiridhishe.
Reply hii imenifanya nirudishe hatua moja nyumaHizi Mashine zimeshaharibiwa soko lake na wale wa promotion... Sio mashine imara na haziwezi kuhimili dakika 50 zikiwa na nguvu ileile
Nakushauri badili NOVA zitakugombanisha na watu uishie kuitwa tapeli..
My apology kama nimekukwaza
Hiyo hapo si kwamba naisingiziaReply hii imenifanya nirudishe hatua moja nyuma
Tupe mwongozo tuhamie wapi ambapo hakuna 'udukuzi'Hiyo hapo si kwamba naisingiziaView attachment 1178095View attachment 1178096
UMESOMA MANUAL YA HIYO MASHINE?Hizi Mashine zimeshaharibiwa soko lake na wale wa promotion... Sio mashine imara na haziwezi kuhimili dakika 50 zikiwa na nguvu ileile
Nakushauri badili NOVA zitakugombanisha na watu uishie kuitwa tapeli..
My apology kama nimekukwaza
Nilimalizia kwa kuomba radhi na nilitoa ushauri ambao ukiuzingatia unaweza kukufaa... Sipo kwa ajili ya kuharibu biashara yako lakini nimeandika ninachofahamuUMESOMA MANUAL YA HIYO MASHINE?
KITU KIMOJA NI KUWA WATU WENGI HUWA HAWASOMI MAELEKEZO
Mashine hii ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Na uwezo wa betrii yake kuwaka mfululizo ni kati ya dakika 40 hadi 45.
Kama uliambiwa hii ni mashine ya kutumia saluni pole haukupewa maelekezo sahihi.
Betrii ya mashine hii ni rechergeable na uwezo wake ni 1.2V na 600mah.
Ushauri kama unataka uitumie kwa muda zaidi ya dakika 45 nakushauri badili betrii.
Tafuta betrii angalau yenye ukubwa wa 1000mah.
HEBU SOMA MANUAL YA MASHINE HALAFU ULETE MREJESHO.
HATUBABAISHI NINGEWEKA ZAIDI ILA NIMEZINGATIA SHERIA ZA JAMIIFORUM
TopazTupe mwongozo tuhamie wapi ambapo hakuna 'udukuzi'
Kabla ya Kumuuzia mtu huwa nina mpa maelekezo yote ndio maana hata kwenye tangazo imeandika "KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI" na betrii ikiwa full uwezo wake wa kufanya kazi ni dakika 40 mpaka 45.Nilimalizia kwa kuomba radhi na nilitoa ushauri ambao ukiuzingatia unaweza kukufaa... Sipo kwa ajili ya kuharibu biashara yako lakini nimeandika ninachofahamu
Manufacture bameweka betrii yenye uwezo huo,huenda mtu akaichaji maramoja kwa wiki au kwa mwezi kutokana na matumizi yake.Kwani kuna mtu ananyoa ndevu kwa zaidi ya dakika 45?
Ndugu yangu mimi sio mshamba wa hizi mashine na situmii saluni.... Na mashine ya kwanza kutumia ilikuwa Sony way back 2003...Kabla ya Kumuuzia mtu huwa nina mpa maelekezo yote ndio maana hata kwenye tangazo imeandika "KWA AJILI YA MATUMIZI BINAFSI" na betrii ikiwa full uwezo wake wa kufanya kazi ni dakika 40 mpaka 45.
Imani yangu ni kuwa haukusoma maelekezo ya mashine hiyo au haukupewa taarifa sahihi na aliyekuuzia.
Hapa hakuna ubabaishaji