Jipatie maharage kwa bei nafuu kuliko: Ulipo tupo.


B

Bellefrida Co ltd

New Member
Joined
Oct 5, 2017
Messages
4
Likes
9
Points
5
B

Bellefrida Co ltd

New Member
Joined Oct 5, 2017
4 9 5
Asante kwako wewe uliyetumia japo dakika kufungua huu uzi. Belle/frida Co.ltd ni wasambazaji na wauzaji wa maharage yenye ubora wa hali ya juu. Aina za maharage tulizonazo kwa sasa ni :

1) Maharage ya njano fupi / ( Kigoma ).
2) Maharage ya njano (maharage ya Mbeya) / (Maini).

Sifa za maharage tajwa hapo juu ni kama ifuatavyo.

Maharage ya njano / (Kigoma).

 • Wakati wa kupika yanatengeneza rojo yenyewe kabla hata ya kutiwa viungo vingine kama mafuta na vitunguu.
 • Ni matamu kwa ladha kuliko maharage ya aina nyingine kama mekundu, meupe na mengineyo.
 • Ni mazuri kwa wanaoyapika kwa biashara na majumbani - yanavimba ipasavyo. Hii inaweza kukusaidia kubana budget yako ipasavyo, kwa sababu maharage machache yataliwa na watu wengi.
 • Rangi yake baada ya kuiva ni kuvutia (hayabadiliki sana rangi yake yakiwa mabichi), hii inasaidia haja yako kubwa baada ya kula kutokubeba rangi ya maharage uliyokula na hivyo kukupunguzia matatizo mengine yasiyo na ulazima.
 • Yana kiwango kidogo cha gesi baada ya kula., Hii inakupunguzia uwezekano wa wewe mlaji na walaji wengine kupata matatizo ya ulcers. ( Vidonda vya tumbo ).


Maharage ya njano (maharage ya Mbeya) / (Maini).

 • Yana sifa zote za maharage ya hapo juu ( Njan_kigoma).
 • Rangi yake ni njano mpauko.
 • Yanaiva kwa chini ya saa 1, na ndio sababu ya kuitwa maini. ( yanaiva haraka sana ), Maji ni mara moja tu. Hii itakusaidia kutunza chanzo chako cha energy itumikayo kupikia kwa kiasi kikubwa. Unaweza pikia hata kwa gesi.
 • Ni matamu sana na laini kuliko maharage tajwa hapo juu.
 • Kiwango chake cha gessi ni kidogo sana, ( Hayasababishi tumbo kujaa ),
 • Kwa ushauri kwa wale wenye shule, migahawa, hoteli, (i strongly recommend this).
 • Kwa majumbani pia ni choice nzuri sana.

----BEI ZA AINA ZOTE HIZO ZA MAHARAGE NI (2,200/=) tu kwa kilo moja kwa dar es salaam.
----TUTAKULETEA HADI MAHALI ULIPO_ KWA WANAOCHUKUA ZAIDI YA KILO 20 kg.
----TUTUMIE SMS KWA (PM) YETU KWA MAWASILIANO ZAIDI.

Karibuni sana.

 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,900
Likes
2,866
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,900 2,866 280
Maharage yashafika 2200 kg kumbe?
Haya subiri watakuja
Jitahidi Ku_market zaidi kwenye social media zingine
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,900
Likes
2,866
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,900 2,866 280
Maharage yashafika 2200 kg kumbe?
Haya subiri watakuja
Jitahidi Ku_market zaidi kwenye social media zingine
 

Forum statistics

Threads 1,235,560
Members 474,641
Posts 29,226,959