BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,060
- 2,111
- Thread starter
- #241
NISSAN SAFARI namba A
BEI MIL 10.5
Call
0718295182*watsap*
0765505909
BEI MIL 10.5
Call
0718295182*watsap*
0765505909
Mmiliki kumdalalia dalali ni kuharibiana kazi
Wewe ndio maskini, tena wa akili. Suala la model fulani ya kitu kuitwa "NEW" hufutwa na ujio wa model ingine na sio miaka.Wabongo bwana...gari ya Mwaka 2003 leo tupo 2017 eti "New Model".. Umasikini kitu kibaya sanaa
Posta Mpya ina miaka zaidi ya 30 na hadi leo yale maandishi yapo pale, NEW POST OFFICE. Na kwa taarifa yako, kuna New Delhi, New York, New England na New Hampshire zote kitambo sana.
Wasalimie Dodoma
kula mkono tumalizane fastaCarina ti
Gari iko vizuri sana
Bei Mil 6
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
Hii mambo bado ipo au ishauzika?VITZ KALI SANA INAUZWA
Mil 4