Hiyo ndio bei ya jumla mkuu, reja reja bei inaanzia 50,000 tu !Bei ya jumla sh ngapi?
Ukonga, Mombasa mkuu, karibu, pia kwa hapa Dar tunakuletea Mzigo popote ulipo , na malipo ni baada ya kupokea mzigo.Duka liko wapi?
45,000 jumla reja reja kuanzia 50,000Weka bei acha ushamba
Nikiingia dukani lazima kuvua viatu?Ukonga, Mombasa mkuu, karibu, pia kwa hapa Dar tunakuletea Mzigo popote ulipo , na malipo ni baada ya kupokea mango.
Na Hii mvua Viatu vyaweza kua na Matope, vua tu MkuuNikiingia dukani lazima kuvua viatu?