Hata hivyo Tecno hazina hadhi tu toka kitambo utatumiaje simu za ajabu ajabu Storage capacity kuuuuubwaaaa halaf RAM ndoooogoooooooo.....!!!Mbona siwaelewiii tecno wanashusha hadhi cm zao cm iuzwe laki 4 haijafika hata miezi 5 iuzwe laki 280000 hivi tecno wanajielewaa kweli ?