Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,417
- 1,645
MawasilianoAlarm yake ame-set kuanzia saa tano usiku hadi saa 12 alfajiri... hajaona haja ya alarm mchana wakati kuna watu!
Kamera hizi zinakupa option ya kuset muda wa alarm, mfano kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 12 alfajiri.. endapo kutokea any movement katika muda huo bhasi itapiga alarm na kukutumia notification kwenye simu yako kua "movement detected at Camera 1 (jinsi ulivyo i-rename kamera yako)...