cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 158
Hii incubator nimeidesign mwenyewe kwa kutumia beseni na inauwezo wa kuangua kwa asilimia 94 inabeba mayai 70 ipo ya manual nauza 280,000 naipo ya automatic nauza 370,000 bei za ofa
Bei ya material pia ni kubwa maana motor tuu kwaajili ya egg turner ni 70k then clock timer ni 130k na temperature controller ni 100k piga hesabu utaona kama sio bei ya offerMbona bei kubwa jombaa.wakati ndo kwanza unatangaza biashara