Jipatie huduma ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

CHEBEPE

Senior Member
Sep 3, 2018
103
62
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS
***************************************
TUMEKUWA TUNA WAAGIZIA MAGARI WATEJA WETU NA TUMESHAKOMAA KATIKA HILO:

SASA TUNAKULETEA HUDUMA YA KUAGIZA BIDHAA YOYOTE KUTOKA NJE KUPITIA KWETU...
****************************************
OFISI YETU IPO KIMARA MWISHO..
TUPIGIE AU KARIBU OFISINI KWETU TUJADILI NA TUKUAGIZIE GARI NA BIDHAA YOYOTE HALALI KUTOKA NJE:
NA KWA WATU WA NJE YA DAR TUNAWEZA KUKUTAFUTIA BIDHAA ZILIZOPO DSM NA KUKUTUMIA HUKO ULIKO...
****************************************
Gharama zetu ni ndogo..
KARIBU SANA -0754734009
****************************************
 
Kuagiza balo moja la mtumba la kilo 45 kutoka usa kiasi gani?
 
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS
***************************************
TUMEKUWA TUNA WAAGIZIA MAGARI WATEJA WETU NA TUMESHAKOMAA KATIKA HILO:

SASA TUNAKULETEA HUDUMA YA KUAGIZA BIDHAA YOYOTE KUTOKA NJE KUPITIA KWETU...
****************************************
OFISI YETU IPO KIMARA MWISHO..
TUPIGIE AU KARIBU OFISINI KWETU TUJADILI NA TUKUAGIZIE GARI NA BIDHAA YOYOTE HALALI KUTOKA NJE:
NA KWA WATU WA NJE YA DAR TUNAWEZA KUKUTAFUTIA BIDHAA ZILIZOPO DSM NA KUKUTUMIA HUKO ULIKO...
****************************************
Gharama zetu ni ndogo..
KARIBU SANA -0754734009
****************************************
Ofisi yenu wote wa wabongo au kuna mzungu hata mmoja?
 
Tunayo Ofisi yetu Kimara mwisho, Ubungo, Dar es salaam. Uagizaji bidhaa ni tofauti na kuingia Dukani na kununua bidhaa yako na kuondoka.. Kuagiza ni mchakato kuanzia kutafuta bidhaa ilipo ktk soko lengwa, kuchagua kwa kadri ya vigezo vya mteja, kubargain bei, kisha kulipia bidhaa kwa pesa iliyokubalika na hatimae kusafirishwa nchini kwetu na hatimae mteja kuchukua au kuletewa.

SASA uagizaji bidhaa kupitia middle merchant kunataka MTEJA kulipia bidhaa husika kwa mkataba baina yake na muagizaji. Muagizaji atakucharge gharama za kuwezesha Mteja kupata bidhaa yake. Kikubwa ktk biashara hii ni uaminifu/trust na kujenga imani kwa kuzingatia mambo ya msingi kibiashara.
 
Back
Top Bottom