Jipatie huduma ya GPS kwa ulinzi wa gari, bajaji, pikipiki yako

New version
IMG-20190909-WA0005.jpeg
 
Tunafunga pia camera ktk gari (ndani ya cabin. Contain. Bus. Trailer nk)

Utaona matukio yote yatakayokuwa yakiendelea kupitia simu yako au komputa yako
 
Iweke gari yako/pikipiki yako katika ulinzi na usalama wa uendeshaji wake kwa kufunga mfumo wetu.

GPS car tracking system itaweza kukupunguzia gharama za uendeshaji wa gari yako na kuongeza lifespan yake. Na ni ulinzi wa uhakika.

Kujua gari ilipo, inakoelekea, kujua mwendokasi, kujua mwenendo wa mafuta, kupata taarifa kama gari imegonga au kupinduka, kupata taarifa kama gari imetoka katika uzio uliojiwekea na kujua gari inatakiwa kufanyiwa service lini n.k

Tupo Magomeni
Piga 0717267636
 
habari njema lakini inatakiwa mkiweka tangazo kama hili mnaweka na bei elekezi!! inasaidia mu akija anajua kabisa inatakiwa alipe ngapi walao kwa kuanmzia
 
Kwani hizi huduma kwa bongo ni ghali Sana..wakati nchinjirani -Kenya Ni very cheap
 
habari njema lakini inatakiwa mkiweka tangazo kama hili mnaweka na bei elekezi!! inasaidia mu akija anajua kabisa inatakiwa alipe ngapi walao kwa kuanmzia
250,000Tzs kwa gari
180,000Tzs kwa bajaji
150,000Tzs kwa pikipiki
100 000Tzs kwa TV, freezer, fridge, mashine na zinginezo
 
Back
Top Bottom