Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,458
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,458 2,000
Oya mkali njuka...

Kuna shida kubwa..
Nina column yenye tarehe mwez na mwaka wa kuzaliwa... Sasa kuna column nyingine nataka ukae umri wao..

Cha ajabu ni kwamba.. Nikitia formula ya ile..

=yearfrac(A1,Today())

Inaleta age ila ikifika kwenye birthdate yenye digit mbili inaleta error.

Yaani ikiwa

1/5/2017 inaleta fresh tu.

12/5/2007 haileti inaonesha error.

Tunasolve vipi hapa.. Na ni data kubwa saaana.. Lines kama elfu 5 hivi
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250

Error hutokea pale end date inapokuwa mbele ya start date mfano start date ikawa ni 8/10/2019 halafu end date ikawa ni 8/9/2019. Sababu nyingine inaweza kuwa ni excel setting za date format ktk pc yako mfano kama hiyo column uliiset iwe na date format ya mm/dd/yy halafu ukageuza format na kuanza na tarehe kisha mwezi (mfano ukaandika 14/5/2019) error itatokea kwa sababu miezi inaishia 12 ,ukiandika 13 na kuendelea italeta error.

Andika hii formula ktk column unayotaka umri udisplay

=DATEDIF(birth date,TODAY(),"y")
 
Kama ukiamua kutumia hiyo function ya yearfrac, itabidi uwe unaanza na round down function ili umri usiwe na decimal point. Mfano = ROUNDDOWN(YEARFRAC(birthdate,TODAY()),0)
DATEDIF function huwa inaleta umri kamili bila decimal, hiyo "y" kwenye formula unayoiona ni kifupi cha years, ukitaka ikuletee idadi ya miezi andika "m" na ukitaka siku andika "d"
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,458
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,458 2,000
Aisee kweli ndugu.. Asilimia 70
Error hutokea pale end date inapokuwa mbele ya start date mfano start date ikawa ni 8/10/2019 halafu end date ikawa ni 8/9/2019. Sababu nyingine inaweza kuwa ni excel setting za date format ktk pc yako mfano kama hiyo column uliiset iwe na date format ya mm/dd/yy halafu ukageuza format na kuanza na tarehe kisha mwezi (mfano ukaandika 14/5/2019) error itatokea kwa sababu miezi inaishia 12 ,ukiandika 13 na kuendelea italeta error.

Andika hii formula ktk column unayotaka umri udisplay

=DATEDIF(birth date,TODAY(),"y")
Asilimia 70 ya matatizo yoote uliyoyasema ni ya kweli ingawaje sina uhakika.. Ila inaweza ikawa hvyo... Sasa mkuu nisaidie katika kurekebisha format ya date katika column yoote... Maaana nimeitia formula bado inaleta error kwenye tarakimu mbili.
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Aisee kweli ndugu.. Asilimia 70 Asilimia 70 ya matatizo yoote uliyoyasema ni ya kweli ingawaje sina uhakika.. Ila inaweza ikawa hvyo... Sasa mkuu nisaidie katika kurekebisha format ya date katika column yoote... Maaana nimeitia formula bado inaleta error kwenye tarakimu mbili.
Select header ya column husika, then right click kisha chagua format cells. Kwenye data type badili hiyo general, chagua date kisha tafuta date format ambayo utakuwa unatumia kujaza birthday date zako
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,458
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,458 2,000
Select header ya column husika, then right click kisha chagua format cells. Kwenye data type badili hiyo general, chagua date kisha tafuta date format ambayo utakuwa unatumia kujaza birthday date zako
Nimekusoma saana mkuu... Iyo nilishafanya ila bado tatizo likawa lipo...

Alafu kilichopo ni kwamba data tayari zipo na ni nyingi km majina elfu 5 hivi... Na walioingiza data kila mtu aliingiza ajuavyo.. Kuna mwengine alianza mwez then date.. Mwingine alianza date then month.. Si unajua tareh ikiwa chini ya 12 inatambulika km mwez sometime..

Kwa iyo ni data nyingi ambazo zimetiwa katika mifumo tofaut.... Nikataka niichange zoote kwenye format moja then niitie iyo formula.. Sasa nilijaribu stil nikaona error sasa sijuh hata nafeli wapi aisee
 
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
2,753
Points
2,000
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
2,753 2,000
Okoa muda, rahisisha mambo,kuwa tofauti na wengine. Hii sio software, ni Ms excel, haina malipo ya ziada utaitumia Maisha yako yote
Nikihitaji ya A level kupanga matokeo ya shule zaidi ya moja bei gani?
Iwe na vitu vifuatavyo
Matokeo kwa division (reg namba na majina)
Best ten kwa kila somo
Best ten overall na kwa jinsia
Results summary
....
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Nimekusoma saana mkuu... Iyo nilishafanya ila bado tatizo likawa lipo...

Alafu kilichopo ni kwamba data tayari zipo na ni nyingi km majina elfu 5 hivi... Na walioingiza data kila mtu aliingiza ajuavyo.. Kuna mwengine alianza mwez then date.. Mwingine alianza date then month.. Si unajua tareh ikiwa chini ya 12 inatambulika km mwez sometime..

Kwa iyo ni data nyingi ambazo zimetiwa katika mifumo tofaut.... Nikataka niichange zoote kwenye format moja then niitie iyo formula.. Sasa nilijaribu stil nikaona error sasa sijuh hata nafeli wapi aisee
Hapo haiwezekani , hata kama utabadilisha date format sio kwamba hizo tarehe zitajibadilisha zenyewe kwenda kwenye miezi na miezi kwenda kwenye tarehe,kuset format ilibidi uifanye kabla ya kuanza.
Suluhisho ni kuweka column tatu ambazo zitakuwa na heading ya date,month,year then kwenye column ya Age utaandika hii formula

=DATEDIF(DATE(D4,E4,F4),TODAY(),"y") ambapo column D itakuwa ni date,column E ni month na column F ni year

Baada ya hapo sasa, ivunje hiyo column ya birth date kwa kutumia text to column ili tarehe,mwezi na mwaka vijitenge na kuingia kwenye hizo column tatu ulizoziinsert. Hapo sasa ndo ufanye evaluation japo haitowezekana kuzirekebisha zote kwa sababu hutoweza kutrack error kama tarehe iliyojazwa kimakosa ipo kwenye mwezi na ni chini ya 12. Mfano unaweza ukaandika kwenye column ya pembeni, =IF(E4>12,"error","") then ukadrag mpaka chini,ambapo column E ni column za miezi so ikileta hilo neno la error unafanya exchange ya date na month.
Pia tumia input message ambayo ipo kwenye data validation kama user instruction( mtu akiclick cell, text box inadisplay ambayo inampa maelekezo) vinginevyo tumia freeze pane ili mtu anaposcroll down,heading za column ziendelee kuonekana. Nimeelezea juu juu lakini nina imani utakuwa umeelewa
 
Nashukuru saana mkuu nimeeelewa vizuur saana nkienda job weekend au j3 nitaifanyia kazi mkuu... Shukran saana ubarikiwe... Ngoja nikikamilisha hili ntakuungisha templates zile mkuu
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Nashukuru saana mkuu nimeeelewa vizuur saana nkienda job weekend au j3 nitaifanyia kazi mkuu... Shukran saana ubarikiwe... Ngoja nikikamilisha hili ntakuungisha templates zile mkuu
Nashukuru ndg kwa kuniombea baraka, mbali na hizo template pia Nina template ya PAYE (payroll) niliwahi kuitangaza hapa lakini ilifutwa na mods kwa kosa la kuitangaza kwenye majukwaa mengi, kama utaihitaji pia tutawasiliana pm au kwa email yangu (niliipost tena japo haina maelezo mengi kama ilivyo awali, nimeweka picha na maelezo kidogo tu)
 
Forum statistics

Threads 1,342,665
Members 514,746
Posts 32,759,259
Top