Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Okoa muda, rahisisha mambo,kuwa tofauti na wengine. Hii sio software, ni Ms excel, haina malipo ya ziada utaitumia Maisha yako yote
 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Kiongozi unitengezea sheet template ya kurekodi mauzo na manunuzi ya kiduka changu?
Template ya kutunza na kuchakata rekodi za kibiashara nitaitengeneza baada ya kumaliza templates zote za shule(o-level,primary na A-level). Vuta subira, nitakutaarifu mkuu
 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Walimu wa shule ya msingi, template yenu hii hapa

 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Ktk templates zangu huwezi kukutana na changamoto ya kuharibika kwa file kutokana na bahati mbaya ya kuandika kitu kwenye cell zenye formula. Cells zote ambazo zina formula huwa nazilock, hivyo mtu hawezi kuharibu/kufuta formula iwe ni bahati mbaya au makusudi. Mtumiaji wa template ataweza kuandika sehemu ambazo anatakiwa kuandikwa
 

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Tatizo la kazi ni moja tu!!!! Ukimuuzia mmoja, anaweza wauzia wengine zaidi tena kwa bei Pungufu!!!
Ni kweli, hii changamoto wanaipata hata wauzaji wa software. Nilifikiria kuweka mfumo wa kulifanya file lisifanye kazi yoyote baada ya muda flani mpaka mteja ajaze activation code ambayo hii itakuwa ni tofauti kwa kila mteja na itakuwa inatoka kwangu lakini nimeona itakuwa ni usumbufu kwa mteja nikaachana nao huo mfumo. Changamoto zingine ni ngumu sana kuzikabili
 

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
6,494
Points
2,000

1kush africa

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
6,494 2,000
Ni kweli, hii changamoto wanaipata hata wauzaji wa software. Nilifikiria kuweka mfumo wa kulifanya file lisifanye kazi yoyote baada ya muda flani mpaka mteja ajaze activation code ambayo hii itakuwa ni tofauti kwa kila mteja na itakuwa inatoka kwangu lakini nimeona itakuwa ni usumbufu kwa mteja nikaachana nao huo mfumo. Changamoto zingine ni ngumu sana kuzikabili
Hongera kwa hilo,
 

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Messages
1,032
Points
1,250

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2014
1,032 1,250
Inatakiwa uanze kujifunza function moja moja na ujue kazi ya kila function, mfano hiyo template ina function tofauti tofauti zaidi ya 70. Ukishazijua functions (sio lazima zote kwa level yako, hata baadhi)ndipo utajua ni function ipi itumike ili ifanye kazi unayotaka. Kuna muda pia inafika kunakuwa hakuna function yoyote inayoweza kufanya kazi unayotaka hivyo inakulazimu kuunganisha function zaidi ya moja kwenye formula moja. Uwe mvumilivu wakati wa kujifunza, ktk excel unapokuwa ktk hii level unaweza ukaandika function 10 na zote zikakugomea zisilete kitu unachokitaka, usikate tamaa endelea kujifunza zaidi. Website zipo nyingi kuna Mr Excel, computer gaga, Prietra Kumar,PK(huyu ni muhindi, anaongea English lakini matamshi yake magumu kuyaelewa mpaka umzoee), Leila Ghalani (huyu ni mdada wa kizungu, ana channel yake YouTube), Sele training n.k
Safi sana mkuu, umeonyesha uungwana wa hali ya juu..
 

Forum statistics

Threads 1,343,415
Members 515,044
Posts 32,783,970
Top