Jipatie Excel Template ya kuchakata matokeo ya wanafunzi (O-level) kwa sh 35,000/=

Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,459
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,459 2,000
Very good... Nataman saan kuwa mkali wa excel ila naishia kucheza na sum.. Countif n.k

Nisaidie hata pdf document niwe expert walahu kidogo mkuu.

Hata zile site nipige pindi niwe mkali mkuu
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Very good... Nataman saan kuwa mkali wa excel ila naishia kucheza na sum.. Countif n.k

Nisaidie hata pdf document niwe expert walahu kidogo mkuu.

Hata zile site nipige pindi niwe mkali mkuu
Kwa level ya beginner utatumia nguvu nyingi kuelewa kama utatumia njia ya kusoma vitabu. Kwa sasa tumia njia ya video (YouTube) au mtu akufundishe ana kwa ana mpaka pale utakapokuwa na basics za kutosha
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,459
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,459 2,000
Basic unayozungumzia kama hipi man maana nagusa gusa vipi ila kwenye kutengeneza full project ndio tatizo..

Alafu hata kam youtube sometime nashndwa elewa naandika nin ili kije ninachokitaka..

Inatakiwa uanze kujifunza function moja moja na ujue kazi ya kila function, mfano hiyo template ina function tofauti tofauti zaidi ya 70. Ukishazijua functions (sio lazima zote kwa level yako, hata baadhi)ndipo utajua ni function ipi itumike ili ifanye kazi unayotaka. Kuna muda pia inafika kunakuwa hakuna function yoyote inayoweza kufanya kazi unayotaka hivyo inakulazimu kuunganisha function zaidi ya moja kwenye formula moja. Uwe mvumilivu wakati wa kujifunza, ktk excel unapokuwa ktk hii level unaweza ukaandika function 10 na zote zikakugomea zisilete kitu unachokitaka, usikate tamaa endelea kujifunza zaidi. Website zipo nyingi kuna Mr Excel, computer gaga, Prietra Kumar,PK(huyu ni muhindi, anaongea English lakini matamshi yake magumu kuyaelewa mpaka umzoee), Leila Ghalani (huyu ni mdada wa kizungu, ana channel yake YouTube), Sele training n.k
 
Shukran mkuu ngoja nianze nazo..
Ila ni zipi function zinatumika saana katika project kama hii ya kwako...

Yaani uwezo wa kuliko data ya sheet moja na sheet nyingine...

!?
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Shukran mkuu ngoja nianze nazo..
Ila ni zipi function zinatumika saana katika project kama hii ya kwako...

Yaani uwezo wa kuliko data ya sheet moja na sheet nyingine...

!?
Unaanza na sheet name kabla ya jina la cell, baada ya sheet name unaweka alama ya ! Mfano =A5+'setting'!B7
Njia rahisi ni ya kuselect sheet kwenye sheet tab (ukishaandika =A5+ unaselect sheet unayotaka then unaselect cell)
Pia unaweza ukalink data ambazo zipo kwenye workbook tofauti tofauti
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,920
Points
2,000
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,920 2,000
Mkuu hii idea nzuri sana, sasa endapo mm nitakutafutia masoko nitapata kiasi gani kwa kila sheet moja?
 
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
1,459
Points
2,000
Old - Hand

Old - Hand

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2017
1,459 2,000
Shukran mkuu... Kwa iyo nkitaka kuisoma mitandaon hii condition sijui function huwa inaitwaje kitaalamu mkuu?
Unaanza na sheet name kabla ya jina la cell, baada ya sheet name unaweka alama ya ! Mfano =A5+'setting'!B7
Njia rahisi ni ya kuselect sheet kwenye sheet tab (ukishaandika =A5+ unaselect sheet unayotaka then unaselect cell)
Pia unaweza ukalink data ambazo zipo kwenye workbook tofauti tofauti
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Shukran mkuu... Kwa iyo nkitaka kuisoma mitandaon hii condition sijui function huwa inaitwaje kitaalamu mkuu?
Hiyo sio function, hiyo ni formula.Mkuu tafuta Uzi wowote wa Excel utakuta comments zangu. Niulize kupitia hizo thread kwa kuni-quote
 
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
683
Points
1,000
adriz

adriz

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2017
683 1,000
Kuhusu penati mkuu huo mfumo bado unatumika ? maana mwaka huu kuna madogo wana F math na division imebaki vile vile na hata ukihesabu point sawa
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Kuhusu penati mkuu huo mfumo bado unatumika ? maana mwaka huu kuna madogo wana F math na division imebaki vile vile na hata ukihesabu point sawa
Miaka ya nyuma ulikuwa unatumika lakini kwa sasa sifahamu (Mimi sio mwalimu). Nimeweka kama optional ili mtu aamue mwenyewe, angalia kwenye picha za report hapo juu
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Kazi ambayo ulitakiwa uifanye kwa siku kadhaa ,template inakufanyia kwa masaa kadhaa tu. Mbali na kuokoa muda, matokea yatakuwa na 100% accuracy, hakuna makosa ya kibinadamu yanayoweza kujitokeza labda ukosee kuingiza marks (mfano badala ya 32 ukaandika 82)
 
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2019
Messages
201
Points
250
Njuka II

Njuka II

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2019
201 250
Bei ya template itaendelea kuwa Tsh 30,000/= . Discount endelevu
 
Forum statistics

Threads 1,342,677
Members 514,746
Posts 32,759,569
Top