Jipatie CCTV camera system na GSM alarm system


S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
248
Likes
83
Points
45
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
248 83 45
SKM OFFERS

1. GSM Alarm system
3 door/window detectors
3 motion detectors
1 Siren strobe
1 gas/smoke sensor
2 remote control
Bei: 310,000/=

2. CCTV camera 4 channel full
DVR recorder full hd
Installation mouse/remote
2 power adapters
4 extension cables
Bei: 380,000/=

Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,246
Likes
11,647
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,246 11,647 280
Mkuu hizi CCTV camera zinaona mpaka gizani (night vision model)?
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,246
Likes
11,647
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,246 11,647 280
Ndiyo boss zina night vision
Na Kuna uwezekano wa kuongeza kamera/channel zaid lakin kwenye DVR hiyo hiyo moja?
Labda nikitaka ziwe 6 kwa mfano, au hiyo 4 ndio uwezo wa DVR?
 
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
248
Likes
83
Points
45
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
248 83 45
Na Kuna uwezekano wa kuongeza kamera/channel zaid lakin kwenye DVR hiyo hiyo moja?
Labda nikitaka ziwe 6 kwa mfano, au hiyo 4 ndio uwezo wa DVR?
DVR iliyopo kwenye hii kit ni ya 4 channels, ukitaka kuongeza camera itabidi ununue DVR nyingine yenye ukubwa zaidi
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,246
Likes
11,647
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,246 11,647 280
DVR iliyopo kwenye hii kit ni ya 4 channels, ukitaka kuongeza camera itabidi ununue DVR nyingine yenye ukubwa zaidi
Nikitaka DVR ya Channels 6 unayo?
Pamoja na Camera zake na Installation itakua kias gani?
 
Mtali

Mtali

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
2,508
Likes
512
Points
280
Mtali

Mtali

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
2,508 512 280
Mdau nitakutafuta... kwakweli kwa sasa nina uhitaji mkubwa sana wa hiyo kitu....kuna matukio hapa home siyaelewi kabisa.... sijui ni wanga wa mtaani.....
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,246
Likes
11,647
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,246 11,647 280
Mdau nitakutafuta... kwakweli kwa sasa nina uhitaji mkubwa sana wa hiyo kitu....kuna matukio hapa home siyaelewi kabisa.... sijui ni wanga wa mtaani.....
Kama unataka uwaone jinsi wanavyopenya Kwenye Ukuta au Kukubeba Msukule Usiku hilo SAHAU, hayo ni matukio ambayo beyond Mzungu/Mchina technology, hakuna mechanism ya ku- integrate pamoja DVR, Camera na Ndumba.
 
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
248
Likes
83
Points
45
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
248 83 45
Mdau nitakutafuta... kwakweli kwa sasa nina uhitaji mkubwa sana wa hiyo kitu....kuna matukio hapa home siyaelewi kabisa.... sijui ni wanga wa mtaani.....
Karibu Sana mkuu
 
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Messages
3,644
Likes
1,275
Points
280
JEKI

JEKI

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2013
3,644 1,275 280
Naahidi tena kuwatafuta mwakani.
 
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
248
Likes
83
Points
45
S

Simon Kaboja

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
248 83 45
Nikitaka DVR ya Channels 6 unayo?
Pamoja na Camera zake na Installation itakua kias gani?
4 channel full kit iyo bei unayoona ni offer, DVR kuna channel 4,8,16 kwa camera 6 Unahitaji DVR ya channel 8 ambayo yenyewe tu bei yake ni 280,000/= , camera 6 300,000/=, installation Inategemea na umbali na mazingira ya eneo
 
Mtali

Mtali

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
2,508
Likes
512
Points
280
Mtali

Mtali

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
2,508 512 280
HDD ya 2terabytes bei gani? ITB bei gani?
Hard drive disk haipo kwenye iyo package, utanunua kulingana na matakwa yako Kama ni 500gb ambayo Ina uwezo wa kutunza matukio kuanzia siku tatu au 1 terabyte inatunza matukio kuanzia wiki,
4 channel full kit
Unapata camera 4, DVR, power cables na connectors , mouse.
 
wehoodie

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
914
Likes
556
Points
180
wehoodie

wehoodie

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
914 556 180
Mkuu una camera ambazo haziko 'obvious' yaani zipo 'concealed' ambazo unaweza weka ndani watu wasijue zimo?
 
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
289
Likes
175
Points
60
tru rasta

tru rasta

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
289 175 60
SKM OFFERS

1. GSM Alarm system
3 door/window detectors
3 motion detectors
1 Siren strobe
1 gas/smoke sensor
2 remote control
Bei: 310,000/=

2. CCTV camera 4 channel full
DVR recorder full hd
Installation mouse/remote
2 power adapters
4 extension cables
Bei: 430,000/=

3. Portable Vision Playing Station (PVP)
Ongeza IQ ya mwanao, kuna magame 3000
Bei: 50,000/=

4. MXQ PRO TV box 4K Ultra hd
Internet tv, ifanye TV yako kuwa smart, Angalia mipira yote bila kutumia ving'amuzi, install app uipendayo
Bei: 120,000/=

5. Stun gun / Teaser
Strong light flashlight
Power output 1000KV
DC discharge
Bei:69,000/=

Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449

Tufollow Instagram
@skmquality @skmquality @skmquality
1.unatumia brand gani?
2.unatumia brand gani?hard drive ya ukubwa gani?na bei inajumuisha router+modem?
Ungeweka picha pia ingependeza tuone hizo items hasa hapo namba moja
 
bluetooth

bluetooth

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Messages
4,069
Likes
963
Points
280
bluetooth

bluetooth

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2011
4,069 963 280
mimi natafuta kin'gora (siren) tu ..... tafadhali
 

Forum statistics

Threads 1,262,349
Members 485,558
Posts 30,120,958