Jipatie booster kwa ajili ya kuku wa nyama

farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
120
MATUNZO KWA KUKU WA NYAMA
(BROILER)

kuku hawa kiasili ni kuku ambao wana uwezo wa kukua haraka ndani ya wiki 3.5 mpaka 4 kutegemea na aina ya chakula unachowapa na matunzo.

Kuku hawa hukua na kujaza nyama mapema na huweza kufikia kilo 2 mpaka 2.5 ndani ya wiki 6 ukiamua kuendelea kuwatuzanza na pia wakilishwa chakula chenye ubora. Mfano syliverland.

JE, UTAMLISHA VIPI KUKU WAKO?

RATIBA YA ULISHAJI

Broiler starter crumble /mash siku 1-13
Broiler Grower pellets/mash siku ya 14- na kuendelea mpka una muuza.
Ukipenda unaweza kuwapa finisher.

BOOSTER NA VITAMIN

Elewa ndugu mfugaji Booster ndo vitamin yenyewe.

Booster Bora zilizopo sokoni.

1) BROBOOST ya FARMERS CENTRE
Wasiliana na huyu kuipata kiurahisi +255788375791, +255718207706

2) DAD BROILER BOOST KUTOKA UTURUKI

Hii nayo ni nzuri sana.imefanya vizuri sana kwa kuku wa nyama. Wasiliana na huyu kuipata kiurahisi.

+255788375791, +255718207706.

3) Kwa wale tunaopenda kutumia vitu vya bei nafuu basi BIOTECH BROILER BOOST itatufaa pia wasiliana na huyu kuipata pia kiurahisi
+255788375791,+255718207706.

KUMBUKA NDUGU MFUGAJI MAFANIKIO KATIKA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA INATEGEA SANA VIFARANGA BORA

WASILIANA NA MTAALAM HUYU AKUPATIE VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA
+255788375791,+255718207706
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom