Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio

Nimecheka kweli kweli.but sishangai kwa wanawake awa wa digital...!
 
Kwa vile atakuwa anampikia kaka yenu na sio nyie, usiyaingilie. Huwezi kujua kakako alimpendea kitu gani, after all kama mume anampenda mkewe watafundishana kazi za nyumbani taratibu, unless mke aseme hataki kujifunza.

Mke si wa mume pekee, si Afrika pekee bali kote ... itafika wakati anatakiwa kupokea wageni, ndugu, jamaa na marafiki. Hapo ndipo utakapojua kama ulimuoa kwa ajili yako peke yako ama kwa msaada na changamoto za kijamii zitakazojitokeza pia.

Sababu ulizotoa ndizo zinazofanya ndoa nyingi zilizopo kwenye changamoto zishindwe kutengemaa.

Ukiolewa jua unao wajibu wa juu kabisa kutumika kijamii na ndugu wa pande zote, the same pia ukioa. Kumbuka hamtaishi kwenye kisiwa cha peke yenu ...
 
Mke si wa mume pekee, si Afrika pekee bali kote ... itafika wakati anatakiwa kupokea wageni, ndugu, jamaa na marafiki. Hapo ndipo utakapojua kama ulimuoa kwa ajili yako peke yako ana kwa msaada na changamoto za kijamii zitakazojitokeza pia.

Sababu ulizotoa ndizo zinazofanya ndoa nyingi zilizopo kwenye changamoto zishindwe kutengemaa.

Ukiolewa jua unao wajibu wa juu kabisa kutumika kijamii na ndugu wa pande zote, the same pia ukioa. Kumbuka hamtaishi kwenye kisiwa cha peke yenu ...

Jukumu la mume/mke first and foremost ni kwa familia yake kwanza. Anatakiwa ahakikishe anamhudumia mwenza wake kwa kila nyanja, pamoja na mibaraka(watoto) ambao mwenyezi Mungu amewabariki. Hao wengine unaowasema ni watu baki, na hana majukumu yoyote kwao isipokuwa anaweza kutoa msaada when needed.

Lakini pia, tumeoa na kuolewa huku tukiwa na shortcomings nyingi, tukiishi pamoja tunajengana, tunafundishana na kusaidiana. Sasa kama umeoa mke na hajui stadi za nyumbani, unatakiwa kumfundisha. Apike unavyotaka, nawe uingie jikoni msaidiane. Kupika sio kwa wanawake pekee, hata wewe unaweza kupika, unapoingia jikoni unamsaidia pale ambapo umeona ana mapungufu.

Nimesema, shida ni pale ambapo hajui kufanya kitu na hataki kujifunza...
 
Eli79 vyote nakubaliana na wewe lakini ni lazima hiyo artificial mentality ya kuwa ''Jukumu la mume/mke first and foremost ni kwa familia yake kwanza'' tuiondoe kwanza, ni mentality ya kibiblia ambayo inachanganya sana na sote tunajua kuwa si kweli. Kwenye NDOA yoyote huwezi kuwaondoa wazazi wa mume/mke ... taka usitake, wale hata kama si directly bali ni sehemu kuu ya familia yenu.

Kiuhalisia NDOA haikufanyi wewe usiwe mtoto wa fulani tena, inakuboresha kama mtoto wa fulani. Unaongea kama mtu uliye ndani ya NDOA, pamoja na mtazamo wako huo najua moyoni unaujua ukweli ... ukitaka NDOA ikushinde dharau wakwe.
 
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka.

Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni kumbe wao wanakutazama tu na kukupimia wala hawakwambii kitu.

Siku ya tatu wanakwambia leo ni zamu yako kupika, unaingia jikoni unaona kila kitu kigeni vya huku unaweka kule, vya kule unaweka huku (yaani hujui kupika chochote)

Sufuria unashika kama umeshika power bank, unapika na lipstick, mdomo mwekundu utafikiri mtoto wa jini katoka kufundishwa kunyonya damu tena huku umevaa saa, umevaa culture zimejaa nusu ya mkono, umevaa mini skirt kama wafanyakazi wa Emirates.

Msosi wa wakwe huwezi kupika. Ukiambiwa hufai kuolewa unavuta mdomo utafikiri umenyimwa USB cable ubust smartphone yako.

Unaanza kulalamika wakwe hawakupendi, unalalamika wee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo tatizo.

Usitake kuolewa ukidhani mumeo atakula chips na wewe utakuwa utakula pizza kila siku, jifunze hata kuchemsha chai basi au unadhani google wataleta app ambayo unaweka USB kwenye simu yako alafu unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi.

#Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio

Nimeishia kucheka tu......
Sufuria unashika kama umeshika power bank........tehtehtehh...watu mna maneno
Waolewaji jipangeni jamani
 
Ukiambiwa hufai kuolewa unavuta mdomo utafikiri umenyimwa USB cable ubust smartphone yako.
 
:D:D:D:p:p:p:D:D:D
Teh Teh Teh!!!...
Mikucha kama Eagle,Lipstick kama Vampire,Nywele mpaka kwenye sufuria..Alfu eti kashika sufuria kama kashika Power bank..Wako wengi tu adi humu JF..Dada zetu you need "#Changes"
 
12424612_1499494567026459_1261277904_n.jpg
11372351_849890275119054_1297749951_n.jpg
12558467_453261768192353_1522428470_n.jpg
hii ndiyo shortchasesi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom