Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,082
6,918
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka.

Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni kumbe wao wanakutazama tu na kukupimia wala hawakwambii kitu.

Siku ya tatu wanakwambia leo ni zamu yako kupika, unaingia jikoni unaona kila kitu kigeni vya huku unaweka kule, vya kule unaweka huku (yaani hujui kupika chochote)

Sufuria unashika kama umeshika power bank, unapika na lipstick, mdomo mwekundu utafikiri mtoto wa jini katoka kufundishwa kunyonya damu tena huku umevaa saa, umevaa culture zimejaa nusu ya mkono, umevaa mini skirt kama wafanyakazi wa Emirates.

Msosi wa wakwe huwezi kupika. Ukiambiwa hufai kuolewa unavuta mdomo utafikiri umenyimwa USB cable ubust smartphone yako.

Unaanza kulalamika wakwe hawakupendi, unalalamika wee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo tatizo.

Usitake kuolewa ukidhani mumeo atakula chips na wewe utakuwa utakula pizza kila siku, jifunze hata kuchemsha chai basi au unadhani google wataleta app ambayo unaweka USB kwenye simu yako alafu unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi.

#Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio
 
kaka katuletea demu mhhhh! anachokijua kwa ufasaha ni kumpiga kaka mabusu tu.juzi kaosha vyombo nkatamani hata asingeosha.anaamka saa 4 ukweni,msosi anaojua kupika ni mtori kiburu na mavyakula mengine ya huko kwao.yaani hapa kaka kachemka ila atajua mwenyewe mbele ya safari.
 
duuuuuuhhhhh, umewachana kweli, au mtu anaenda ukweni (mwanaume au mwanamke), halafu muda mwingi yupo na ma earphones masikioni
 
Kuna binti ilishindikana kumpeleka kwetu kisa kaendekeza kuvaa suruali licha ya kumpiga shopping ya skirts na magauni ya maana lakini hakutaka kabisa kujifunza kuvivaa!
Mh! Nikaona isiwe tabu pita ivi....
tusitiane aibu kwa mawifi na bi mkubwa.

Baraa zaidi siku hizi mabinti wa mujini hawavai hata chu*p @ney_wa _mitego-#shikaadabuyako
 
kaka katuletea demu mhhhh! anachokijua kwa ufasaha ni kumpiga kaka mabusu tu.juzi kaosha vyombo nkatamani hata asingeosha.anaamka saa 4 ukweni,msosi anaojua kupika ni mtori kiburu na mavyakula mengine ya huko kwao.yaani hapa kaka kachemka ila atajua mwenyewe mbele ya safari.

Kwa vile atakuwa anampikia kaka yenu na sio nyie, usiyaingilie. Huwezi kujua kakako alimpendea kitu gani, after all kama mume anampenda mkewe watafundishana kazi za nyumbani taratibu, unless mke aseme hataki kujifunza.
 
HAYO MAMBO HAYO YAMENIKOSESHA MKE...alijirekebisha vingi. ila akagoma hiyo MIRANGI ya mdomoni, makeups na MIKUCHA BANDIA, nikamwacha...
eti aje kwangu na mikucha kama(eagle) TAI?!
atajisikiaje nikiwa kwao na mlege wa NGUVU
 
Duh hii ni shida hata kama ndo usasa basi huo umepitiliza. Jamani wadada wa mjini jifunze kuishi kulingana na mazingira na utambue sifa za wife material ni zipi
 
Sin
Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka

Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya Kwanza Umeshinda Unachati, Siku ya Pili Umeshinda Unachati Tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni Kumbe Wao Wanakutazama Tu na kukupimia Wala Hawakwambii Kitu

Siku ya Tatu Wanakwambia Leo Ni Zamu Yako Kupika, Unaingia Jikoni unaona Kila Kitu Kigeni
Vya Huku Unaweka Kule, Vya kule Unaweka Huku (Yaani Hujui Kupika Chochote)

Sufuria Unashika Kama Umeshika Power Bank, Unapika Na Lipstick, Mdomo Mwekunduuu Utafikiri Mtoto wa Jini Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu tena huku Umevaa Saa, Umevaa Culture Zimejaa Nusu Ya Mkono, Umevaa Mini Skirt Kama Wafanyakazi Wa Emirates

Msosi wa Wakwe Huwezi Kupika. Ukiambiwa Hufai Kuolewa Unavuta Mdomo Utafikiri Umenyimwa USB Cable Ubust Smartphone Yako
Unaanza Kulalamika Wakwe Hawakupendi, Unalalamika Weee, Unashindwa Kuelewa Kuwa Wewe Ndo Tatizo.

Usitake Kuolewa Ukidhani Mumeo Atakula Chips na Wewe Utakuwa Utakula Pizza Kila Siku, Jifunze Hata Kuchemsha Chai Basi Au Unadhani Google Wataleta App Ambayo Unaweka USB Kwenye Simu Yako Alafu Unaielekezea Kwenye Sahani Inaproduce Msosi

#JIPANGE DADA Usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga Picha Huku Umejibinua Makalio
Wanawake wa .com ni majanga
 
Hebu weka picha ya dada anayepiga picha huku kabinua masaburi tuone maana wengine hatujawahi kuona
12424612_1499494567026459_1261277904_n.jpg
11372351_849890275119054_1297749951_n.jpg
12558467_453261768192353_1522428470_n.jpg
 
Kwa vile atakuwa anampikia kaka yenu na sio nyie, usiyaingilie. Huwezi kujua kakako alimpendea kitu gani, after all kama mume anampenda mkewe watafundishana kazi za nyumbani taratibu, unless mke aseme hataki kujifunza.
Ila mchango wako kama utawapoteza hawa wanafunzi maana sikuiz wamejaa humu...
 
kaka katuletea demu mhhhh! anachokijua kwa ufasaha ni kumpiga kaka mabusu tu.juzi kaosha vyombo nkatamani hata asingeosha.anaamka saa 4 ukweni,msosi anaojua kupika ni mtori kiburu na mavyakula mengine ya huko kwao.yaani hapa kaka kachemka ila atajua mwenyewe mbele ya safari.
Huyo ndio chaguo lake....

Wataelekezana huko mbele (usikute kaka yako anapendaje hiyo mivyakula sasa....na hana habari wakiwa wenyewe vyombo anaosha)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom