donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Hahah poa mkuuOngeZea na facebook hapo ndugu
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Hizo body spray ni za wasukuma na mapolisi.
Ngoja ngosha'S waje utajutaHizo body spray ni za wasukuma na mapolisi.
Unaishi kotaz za polisi au wewe ni msukuma mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
aha msukuma pur sio yule wa mjini hawatumii spray..wana asili ya dharau kujiona wanajua kil kitu..anakuwa ananuka majasho tu na hana shida