jiongezee kipato chako kupitia blog yako kwa kuweka matangazo ya bluesoft

bluesoft technology

New Member
Mar 12, 2017
2
0
Hellow guys,

habari za wakati huu, kwa jina naitwa mussa ni CEO founder wa bluesoft technology inayojihusisha zaidi na shughuli mbalimbali za ki teknolojia ikiwemo

-web hosting
-domains Registrations
-ads technology (matangazo yanayo mlipa blogger kwa kuyaweka katika blog yake)
-Web designing

Pia kwa wewe unaehitaji kuwafikia umma mkubwa wa kitanzania kwa kutangaza na bluesoft ads kwa kiasi kidogo kabisa cha pesa ambacho ni sawa na bure kabisa Tzs 5000/- kwa mwezi mzima.

pia kwa wewe mmiliki wa blog unakaribishwa kuweka matangazo yetu na uweze kujiingizia kipato kila mwezi. ili kuweza kupata matangazo yetu na maelezo kamili wasiliana nasi kupitia whatsapp namba 0746510577, email yetu support@bluesoft.co.tz

karibuni nyooote pia waweza kuuliza swali hapa na ukapata maelezo
 
Pamoja mkuu
 
5000 inafikia watu wangapi kwa mwezi...isije ikawa watu 20 wakati kwa fb na insta unafikia watuv4000 kwa hio hela.

Mfumo wako wa kulipa kwa bloggers ni upi..click moja ni sh ngap, unatumia cpa, cpm au njia gani.

Njia za kulipa bloggers ni zp..

Muwe mnatoa details kwa kina ..yasije yskawa mambo kama ya millionaire ads na Adspesa ambao waliishis kupiga hela za bloggers
 
Back
Top Bottom